Sasa kama hatutasajili cdm,na kuna kila dalili hatutasajili,no way,tutakua vile vileeeFu.ck the formation..
Tunahitaji kucheza vizuri na soka linalovutia na kushinda mataji..whether it is 442,433,4231..
Ingawa waswas wangu ndo wale wale awb na tellesHaya mdogo mdogo,View attachment 2275605
Laini kuliko hata konokono..Bruno
Fankie
Eriksen
Hiki kiungo tutakua laini sana.
Fuvk you Van Gaal.
mashabiki wa feyenord wanasema udhaifu wake mkubwa ni krosi kwa maana hayupo daraja moja na trent, dani alvez. ila anafanya mashambulizi na kukaba kwa kiwango cha juu. kaitafute fainali ya as roma na feyenordTyrell Malacia....
Ngoja nimcheki..
But tusijajili mtu asiyeweza kuingia first eleven direct...itakuwa ujinga
Thanks chiefmashabiki wa feyenord wanasema udhaifu wake mkubwa ni krosi kwa maana hayupo daraja moja na trent, dani alvez. ila anafanya mashambulizi na kukaba kwa kiwango cha juu. kaitafute fainali ya as roma na feyenord
ten hag inavyosemekana hakuvutiwa na performance ya telles tulipocheza na crystal palace. huyu malacia amemfanyia uchunguzi tokea yupo ajax hivyo anamfahamu. huu si usajili wa kukurupukaThanks chief
Ngoja niicheki.
Finally, Dirisha hili inaonekana kuna mipango. Hakuna ukurupukaji wa kibozo bozo.EtH akipewa backup nzuri ya uongozi pamoja na sisi mashabiki bila kuwa na kiraru cha kutaka kurejea haraka haraka ktk ubora wetu tunaweza kufanya jambo ktk kujenga msingi wa awali.
Dirisha hili lina wachezaji wengi sana wazuri wa bei chee kila idara kuliko msimu wowote ule toka nimeanza kuangalia mpira ila hawaimbwi ktk vinywa vya watu. Hawa niliowa-list hapa chini wote wana umri wa miaka 20 ~ 23 na bei zao hakuna anayeweza kuzidi hata Euro 50M.
Beki wa kati: Alessandro Bastoni, Nico Schlotterbeck, Josko Gvardiol
Beki wa kushoto: Borna Sosa, Tyrell Malacia
Viungo: Boubacar Kamara (free agent, 150k/weekly), Matheus Nunes
Juzi nilipoona anajianda kwenda Ufaransa nilinyong'onyea kichizi. Unaachaje kipaji kikubwa vile kikupite kwa bei chee? Ilhali tuna mapungufu upande wa kushoto?ten hag inavyosemekana hakuvutiwa na performance ya telles tulipocheza na crystal palace. huyu malacia amemfanyia uchunguzi tokea yupo ajax hivyo anamfahamu. huu si usajili wa kukurupuka
Huu mzee mwanzo nilikuwa naelewa ukosoaji wake na mfumo mzima wa uongozi kiuendeshaji ila sasa hivi naona kama anavuka mipaka. He's too emotional dhidi ya United.