D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Mendez anamjua Mganga wa Diego costa? Maana kizizi cha Drogba hakijaondoka Chelsea, kama anataka kumaliza Career yake aende huko.Kwa mujibu wa david ornstein: jorge mendez ambaye ni wakala wa ronaldo alikutana na kufanya mazungumzo na mmiliki mpya wa chelsea. Miongoni mwa ajenda walizozungumza ni mustakabali wa ronaldo. Haijajulikana chelsea watarespond vipi juu ya pendekezo hilo.
umeamua kumtisha starring wa dunia kwa kelele za mlangoMendez anamjua Mganga wa Diego costa? Maana kizizi cha Drogba hakijaondoka Chelsea, kama anataka kumaliza Career yake aende huko.
EtH hatamaliza msimu!? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FDJ laini Sana ,yule kwa epl atajuta ,
man u mkumbuke sub Ni 5 msimu huu,
Kufika October mtakuwa mshaandamana kwa mmiliki wa timu ,hamna uvumilivu kabisa
Sitashangaa ETH asimalize msimu
Bila kusajili, CR7 atasepa dakika za mwisho za usajili.Ronaldo anashinikiza 10 hag asajili[emoji3]
Jamaa haoni chochote kikifanyika [emoji23] anaweza ondoka zakeBila kusajili, CR7 atasepa dakika za mwisho za usajili.
Usiwe tu unabisha bila kuwa na fact p*mbi wewe na hapa kocha alikuwa ni ole[emoji116][emoji116][emoji116]Kilimaliza nafasi ya pili ipi [emoji28][emoji28][emoji28]au unazungumzia man utd ya morihno
[emoji23][emoji23][emoji23] timu la furaha naona linaanza kukusononesha na kutuletea huzuni moyoni.Leo Ndo tunaanza mazoezi lakini hakuna sura mpya hii timu dah.View attachment 2274072
Wamemkataa aiseeKuanza kavukavu ni ishara tu kwamba mwanzo mbaya.
Na kama Barca wanataka magiure what's so important kwake? Si aende!
Leo Ndo tunaanza mazoezi lakini hakuna sura mpya hii timu dah.View attachment 2274072