Duh city na liver pamoja na ubora wa vikosi vyao ila wameongeza watu tusidanganyane shida sio kocha pekee hata uwezo binafsicwa mchezaji mmojammoja bado toko nyuma sana man kuna wachezaji city na liver na timu nyengine kikosi cha kwanza hawewezi kupata nafasi ! mfano dm wa rodri ila wameongeza philips we una Mctominay,fred,perreira na garnerNachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.
Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.
Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.
Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.
Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Arsenal,chelsea na westham man u labda 8 au 9 tusibiriMan. City mabingwa wa PL na bado wamesajili DM kabla yetu.
Next season nafasi 2 za top 4 tayari ni 100% Liverpool na City wana uhakika kuwepo, Spurs ya Conte haikosi pia hiyo moja inayobaki ndiyo ya wachovu waliobaki.
alibugi kurud man u angeenda city hata ufungaji bora wa ligi angechukuaUongozi mzima wa MUFC unamatatizo. Ukubwawa club, uwingi wa mashabiki na vyanzo vya mapato vinawaponza na kuwafumba macho na hivyo kushindwa kuona hali halisi na kuchukua hatua. Nasiki Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoka.
The cash cow always ready to milk..
Kama tutasajili basi tupate targets zote tulizozitaka siyo tunachelewa na bado tunatoka kapa.Kelvin Philips huyo Etihad,Haaland ni done deal..then na sisi tunajikuta tunataka kuwa contenders coming season..huu ni utani..hata top 4 sidhani kama tutapata.
Na usajili huu zaidi ya de jong msitegeme mwengineKama tutasajili basi tupate targets zote tulizozitaka siyo tunachelewa na bado tunatoka kapa.
Arsenal nao washafanya yao sisi tupo tu.
me nahisi aliambiwa kabisa we chukua mkataba na uendelee na hayahaya matakataka mambo memngine kausha yale tunayoskia alikuwa masharti yake ni maneno tuKocha mwenyewe alishasema kikosi chetu kipo vizuri sababu kilimaliza nafasi ya 2 kwa hiyo tusitegemee usajili wa kutisha sana,wakati target zake zenyewe zikiwa ni wachezaji wa AJAX.Hapa tusubiri akiwabadilisha kina Rashford na kina Elanga kuwa kama Mbappe na Neymar,tunaweza kusajili wachezaji watatu naona kwa bajeti yetu msimu huu
Mbona hamueleweki? Man UTD si mnasema hamtaki waingereza?? Kwa hiyo Phillips kwenda Etihad Sasa hivi mnaona wivu???Aliekuwa target ya Man Utd kwa kipindi kirefu, Kalvin Phillips hatimae amesajiliwa na Man City
Mlisema hamuwataki waingereza Kwa kujisahaulisha timu ilipiganiwa na haohao waingereza na kujisemesha zama zimebadirika,Mbona wivu Sasa Kwa jirani Kwa Phillips kusajiriwaKelvin Philips huyo Etihad,Haaland ni done deal..then na sisi tunajikuta tunataka kuwa contenders coming season..huu ni utani..hata top 4 sidhani kama tutapata.
Tunahitaji misimu isiyopungua miwili kujisoma tupo wapi,hata tukibadili timu nzima ni uongo kujipa moyo kwamba msimu ujao tutakua contenders,TUWE WAVUMILIVU,shida ya Man u ndo hii,huwa tunajipa matumaini saana ndo maana tunaumia na tunajikuta tunanunua kwa presha kama wakina Sanchez,pogba n.kKelvin Philips huyo Etihad,Haaland ni done deal..then na sisi tunajikuta tunataka kuwa contenders coming season..huu ni utani..hata top 4 sidhani kama tutapata.
Kilimaliza nafasi ya pili ipiKocha mwenyewe alishasema kikosi chetu kipo vizuri sababu kilimaliza nafasi ya 2 kwa hiyo tusitegemee usajili wa kutisha sana,wakati target zake zenyewe zikiwa ni wachezaji wa AJAX.Hapa tusubiri akiwabadilisha kina Rashford na kina Elanga kuwa kama Mbappe na Neymar,tunaweza kusajili wachezaji watatu naona kwa bajeti yetu msimu huu
Rice ni overpriced wa kazi gani sisi? 1000% Rice hawezi kusajiliwa United.Mbona hamueleweki? Man UTD si mnasema hamtaki waingereza?? Kwa hiyo Phillips kwenda Etihad Sasa hivi mnaona wivu???
Na bado Rice huenda akaenda darajani,halafu muanze kuongea sana.
Wewe nenda kajiongeleshe kwenye uzi wenu kule.Kilimaliza nafasi ya pili ipiau unazungumzia man utd ya morihno