D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
bado hatujawa na usawa wa kikosi licha ya kuondoka kwa hao wachezaji 6 uliowataja, changamoto kubwa tulionayo ni kuwa na kundi kubwa la wachezaji wenye taathira ndogo sana ya kiuchezaji jambo linalopelekea kuwa frustrated.Kuna gepuu kubwa kwenye kikosi wameondoka wachezaji karibu wa 6
Cavan
Mata
Lingard
Pogba
Matic
Greenwood
Apa kwa haraka ili kubalance kikosi atleast tusajili wachezaji 4 d
Ili depth ya kikosi iwe sawa..ukumbuke tuna Europa League na Premier League michuano yote tunatafuta nafasi nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna mabeki wa kati 7, Maguire, Varane, lindelof, Bailly, Jones, Tuanzebe na Mengi hapo Mpaka wauzwe watatu ama zaidi ndio tuanze kufikiria mengine.bado hatujawa na usawa wa kikosi licha ya kuondoka kwa hao wachezaji 6 uliowataja, changamoto kubwa tulionayo ni kuwa na kundi kubwa la wachezaji wenye taathira ndogo sana ya kiuchezaji jambo linalopelekea kuwa frustrated.
licha ya kuondoka kwa hao wachezaji walioishiwa mikataba yao lakini bado tunao wachezaji hawa wa kikosi cha kwanza, bahati mbaya sana hakuna mwenye uwezo wa kufikia matarajio yetu ndio maana tunawaza usajili.
facundo pellistri + amad + anthony martial + tuanzebe + james garner +tahit chong + teden mengi.
sijafanya mahesabu ila nadhani wachezaji wa kikosi cha kwanza waliopo bado wanafika 30 jambo ambalo si sahihiTuna mabeki wa kati 7, Maguire, Varane, lindelof, Bailly, Jones, Tuanzebe na Mengi hapo Mpaka wauzwe watatu ama zaidi ndio tuanze kufikiria mengine.
@Mc cane : Aise umepotea sana humu.Mashabiki wa United tukisubiri transfer news View attachment 2269779
Kwenye Kikosi cha United nani atafanya hilo jukumu?
Hivi Henderson anatolewa kisa nini?..Hii timu hii sasa wachezaji wanatoka tu sasa wanatoa kipa kijana huyu mbona akili za hii timu sizielewi.View attachment 2270766
Naona kocha kachagua De Gea awe no 1 msimu ujao. Dean anataka game time watoto wanaibuka tu pale England kila leo, anahofia kupotea kabisa nadhaniHivi Henderson anatolewa kisa nini?..
Hatoshi kuwa 2nd goalkeeper..au anataka game time ya kutosha?
Hii move sijaielewa kabisa.
Anataka game time ya kutosha.Hivi Henderson anatolewa kisa nini?..
Hatoshi kuwa 2nd goalkeeper..au anataka game time ya kutosha?
Hii move sijaielewa kabisa.
Henderson ni kipa mzuri na yeye kulazimisha kupewa mechi za kutosha ni suala linaeleweka kabisa. Kitu kizuri United hawajauza kabisa maana bado kama watu hawana uhakika pale Sheffield United (PL) ni one season wonder au vipi? Hii move nzuri sana kwake na kocha, mwisho wa msimu kocha atapata picha nzuri kipa yupi anamfaa kwenye timu yake maana rebuild ndiyo kwanza inaanza.Hii timu hii sasa wachezaji wanatoka tu sasa wanatoa kipa kijana huyu mbona akili za hii timu sizielewi.View attachment 2270766
Henderson hawezi kukubali Kuwa choice no 2, ni kipa mzuri kwa Timu yoyote ile midtable epl pale. Aliwafikisha Shefield mpaka nafasi ya 6 kabla ya Corona.Hivi Henderson anatolewa kisa nini?..
Hatoshi kuwa 2nd goalkeeper..au anataka game time ya kutosha?
Hii move sijaielewa kabisa.
Duh city na liver pamoja na ubora wa vikosi vyao ila wameongeza watu tusidanganyane shida sio kocha pekee hata uwezo binafsicwa mchezaji mmojammoja bado toko nyuma sana man kuna wachezaji city na liver na timu nyengine kikosi cha kwanza hawewezi kupata nafasi ! mfano dm wa rodri ila wameongeza philips we una Mctominay,fred,perreira na garnerNachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.
Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.
Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.
Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.
Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Arsenal,chelsea na westham man u labda 8 au 9 tusibiriMan. City mabingwa wa PL na bado wamesajili DM kabla yetu. [emoji58]
Next season nafasi 2 za top 4 tayari ni 100% Liverpool na City wana uhakika kuwepo, Spurs ya Conte haikosi pia hiyo moja inayobaki ndiyo ya wachovu waliobaki.
alibugi kurud man u angeenda city hata ufungaji bora wa ligi angechukuaUongozi mzima wa MUFC unamatatizo. Ukubwawa club, uwingi wa mashabiki na vyanzo vya mapato vinawaponza na kuwafumba macho na hivyo kushindwa kuona hali halisi na kuchukua hatua. Nasiki Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoka.
The cash cow always ready to milk..