Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cafu amechelewa sana kuliona hili
Ila pia wachezaji wanataka pesa ligi ya brazil je pesa ipo?
 
Lini brazil wamechukua Kombe na wachezaji wa La liga? Hio Brazil ya La liga si ndo ilikuwa Nyanya nyanya ikatandikwa 7 juzi tu hapa tena Nyumbani?

Brazil ya 2002 wachezaji wawili tu walikuwa la Liga, Carlos na Rivaldo tu, majority walitoka Serie A na Ligi ya Nyumbani Brazil.

Na pia La liga wana Vyombo kibao vya habari kama uingereza vinaongea pumba tu na kusifia sifia kina Marca hao sema tu Duniani wanaoongea kispaniola ni wachache kuliko kiingereza.
 
Msamehe bure Cafu sio akili zake hizo, ni umri tu unamfanya kua mropokaji, si unajua mtu anavyozidi kuzeeka na akili zake zinakua kama za mtoto mdogo.
 
CUFe
Cafe A big Mouth behind the TV
 
Yani katika timu yenye imetuchoka mashabiki zake naona ni Manchester united,yani mpaka leo ata jezi mpya hawajatoka kuzitambulisha,mpaka watu wamejiongeza wananunua jezi ambazo sio rasimi.

Manchester united yani sioni kama tutafanya cha maana kama glazer ato achia hii timu tutakuwa timu ya majungu tu.
 
Wale mamluki wa kimarekani ndio tatizo I hate glazers.
 
Man United kwenye usajili hatuna watu makini na yawezekana toka muda mrefu hatuna ushawishi mkubwa na wachezaji wengi nje ya wachezaji wa kingereza wanapata tabu sana kuadopt culture ya Manchester United, ndiyo maana wengi hatuwezi kuwapata pale tunapopata ushindani kutoka kwa vilabu vingine labda itokee mchezaji mwenyewe awe anataka kucheza Man united kama Bruno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…