Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika muda ambao man city na Liverpool zinatambulisha nunez na halaand man u wao wapo kwny kuhusishwa na kila mchezaji[emoji23]
 
Kaka nakuelewa sn na inaonekana timu ubaijua mda mrefu sn naona mashabiki wengi wamekalia ushabiki kuliko uhalisia
 
Utd wamekosa mazoez ya maana na ndio mana hata ralf alisema wanshindwa mudu pressing na ndio mana th amesema ataanza nao mapema zaid kabla ya wiki 2ya ratiba kamili hivo sina shaka kuwa watacopy tu
 
Utd inahitaji wachezaji wanne had watano kwa msimu huu na nawapongeza sn mabos wapya wa sasa wako makin sn kutoa hela mana wanajua jins tulivyoumizwa huko nyuma

Mchezaji kama nunez mwache aende liverpool sbb liverpool wanahitaji mchezaji mmoja tu au wawili kwa kikos chao hivo kutoa hela kama ile kwa nunez wala sio shida kwao sbb tayar kikos chao kimeshehen
Hata hivo kiuhalisia nunez sio wa bei hio na hapo ndo naisifu bod ya utd ya sasa

Kipaumbele na mido ndio mana wamekomaa na fdj na neves wa wolves

Sasa hebu jiulize kama unajua mpira kweli kama ukifanikiwa kuwapata nees na fdj nini kitatokea pale utd chin ya th
Kocha anajua anachokifanya na mm sina shaka na jamaa katika kufundisha suala la msingi tusijipe mategemeo makubwa sn msimu sbb kwanza jamaa ndo anaanza

Utd bado wana option nyingi tu zinazoweza patikana na wakafanya vizur hivo ss kama mashabiki tupunguze mihemheko na ujuaji mwingi

Liverpool kwanza walikua hawana namna mana washaona haland katua city ww ulitegemea wasilipe ile hela?

Timu ya usajili ya man u ipo makin sn hio ni sbb ya makosa yaliofanyika huko nyuma na ninawapongeza sn kwa hilo mana mashabiki kindakindaki wa utd wanajua kuwa timu ilitakiwa kujengwa kama hivi tunavyokwenda sasa na kocha apewe mamlaka kamiki na kocha apendekeze wachezaji mwenyewe sio kama muun edwood alivyokuwa anafanya
 
Mpira wa sasa hela ndo inaongea.

Wachezaji kuuzwa juu ya €100M utaanza kuona kawaida.

Man Utd ibadilike, itoe mpunga watu wafanye kazi.

Nina uhakika ETH anatafuta cheaper options maana watu wa uhakika huwezi wapata kwa hela ya mbuzi.
 
Timu ya usajili ya Man United haiko makini tusidanganyane mkuu.
 
Mpira wa sasa hela ndo inaongea.

Wachezaji kuuzwa juu ya €100M utaanza kuona kawaida.

Man Utd ibadilike, itoe mpunga watu wafanye kazi.

Nina uhakika ETH anatafuta cheaper options maana watu wa uhakika huwezi wapata kwa hela ya mbuzi.
This is very true ukiangalia miaka ya mwanzoni mwa 2000 mchezaji anayeuzwa 80 au 60 ni proven player yaan anaenda kudeliver 100%

Ila kwasasa hiyo 100 ni kwaajili ya potential player (not matured enough) i.e nunez

Btw: Naamini usajili wa middle 2 msimu huu itakua mafanikio ya awali
 
Mpira wa sasa hela ndo inaongea.

Wachezaji kuuzwa juu ya €100M utaanza kuona kawaida.

Man Utd ibadilike, itoe mpunga watu wafanye kazi.

Nina uhakika ETH anatafuta cheaper options maana watu wa uhakika huwezi wapata kwa hela ya mbuzi.

Liverpool na ubahili wao wote wamemwaga £80million + £20 mill kalibia £100 million Kwa Darwin 😅😅😅...!

Siku hizi hakuna mchezaji cheap ,labda ukanunue wachezaji wa mafungu kama wa arsenal,pepe,sijui ordegard ....
 
Na akija kuwa kimeo wataimba

Ibadilike vp msimu uliopita tumesajili Sancho kwa pesa ndefu varane na Ronaldo....sasa ww unataka itoepesa kias gan au unataka tuwe kama PSG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa carlo ni bonge la manager huwezi fananisha na mapimbi wengine.
 
Kocha alisema anatamani mpaka pre season inaanza awe kapata wachezaji anaowataka ila mpaka leo hamna hata mmoja aliekuja na zimebaki wiki 2 sijui.
sasa kama de jong hadi leo hawajamchukua hao wengine itakuwaje?? tusishangae tukaanza msimu bado tunapambana na mchezaji mmoja.
Liver kaingilia dili letu hata wiki haijaisha washabeba tunasema hatuna haraka hahha okay wacha tuone ila binafsi sielewi wanataka kusajili nini mpaka sasa.
 
Kuwa mpolee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…