na burungutu alilopewa hapa chini .... ...
Chezea mafioso weye .... ...... ...
imekula kwenu khe khe kheeeeeeeeeeKheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Kama madudu ya Arsene Chenga yalivyoshamiri kwenu goons kwa miaka 8 bila kikombe hata cha mbuzi.......
Ukibeba ubingwa ndio at least tunaweza kuongea,remember you have won nothing in 8 years
Cha msingi ni kuangalia sababu zinazopelekea Man Utd ifanye vibaya wakuu.....
Rubaman mbona utabili wako umekurudi? Iweke sawa
Sababu wanazotoa goons wenzio ni kuwa David ni kocha asiyefaa kuwa wa #ManUnited wanatoa sababu hiyo kwa kocha ambaye hata mwaka 1 hajamaliza klabuni.
Sasa ndio maana nikawaambia kama kigezo cha kufanya vibaya klabuni ndio kiashiria cha kocha kuwa mbovu, mbona Arsene Chenga anaenda mwaka wa 9 sasa bila kuwa na kikombe hata cha mbuzi?
Pili, goons wenzio wanasema David hastahili kuwa #ManUnited kwa sababu ana uzoefu wa midtable....sasa nikawauliza Arsene Chenga wakati anakuja goons alichukuliwa kwa uzoefu upi? Kwani alitoka nchi ambayo haikuwapo kwenye ramani ya soka!!!
Ni hayo tu chifu wangu.....
Sasa nakupa sababu inayopelekea United kufanya vibaya hadi sasa:
1. Kipindi cha mpito - ili halina ubishi, kwani kwa kile alichokifanya SAF katika miaka 27 ya kuwa OT, siyo rahisi kwa kocha mpya kuja na kuyaishi mara moja. Naamini siku ambayo Arsene Chenga akiondoka goons (msimu huu ndio wake wa mwisho, kwani aliahidi hasipochukua kikombe chochote kile atajiuzulu, na sioni dalili za kuchukua chochote).
Katika kipindi cha mpito, David anapigania na kuepuka kuishi katika kivuli cha SAF; anataka aweke alama yake klabun, jambo ambalo siyo kazi rahisi.
2. Kuchemsha katika usajili wa majira ya joto mwaka jana - hapa napo panahusika. David alikuwa ni meneja mpya na Ed Woodward alikuwa ndio kwanza ameanza majukumu kama executive vice chairman mwenye jukumu pia la kutoa pesa za usajili. Sasa Ed alikuwa mzito mno katika kutoa pesa; hivyo kupelekea David kukosa wachezaji aliowataka. Hapa siasa za usajili ziliwatoa knockout wote. Mwezi huu mambo yataenda vizuri, kwani David tayari ana kikosi chake kipya cha usajili. Timu ilihitaji wachezaji kadhaa wapya karibu katika nafasi zote tatu (beki, kiungo na mbele) za uwanjani (ukitoa golini). Hiyo ni kutokana na usajili uliofanywa na wapinzani na kuongeza nguvu ya wapinzani.
3. Viwango vya wachezaji - viwango vya wachezaji kama Evra, Rio, Tom, Smalling, Kagawa na Javier vimekuwa haviko sawa sana. Ingawa kwa Javier na Shinji, naweza nisiwalaumu sana kutokana na muda mchache waliocheza. Lakini pale wanapocheza, hususani Javier wamekuwa hawapo katika viwango sawa. Shinji amefanya vizuri sana katika UCL. Evra nafikiri muda wake umefika omega; amekuwa hana spidi ya kurudi kwenye LB pale anapopigwa counter attack kwenye upande wake. Tom amepewa sana nafasi lakini hajawa bora katika kusukuma mashambulizi mbele. Smalling naye pale anapocheza kama RB amekuwa uchochoro sana; ingawa kwa upande mwingine siwezi kumlaumu sana kutokana na kwamba yeye siyo natural RB. Akicheza kama CB, uwa anacheza vizuri sana. Rio kazeeka, na nafikiri mwisho wa msimu huu, safari ya kuondoka itafika.
4. Majeruhi - kwa kweli msimu huu timu imekumbwa na majeruhi kwa wachezaji wa muhimu sana. Mfano, RvP, Rafael, Jones, Michael, Vida na Nani. Hii imepeleka timu kukosa consistency. Haswa pengo la Rafael ni kubwa sana; kwani hasipokuwepo yeye RB inakuwa uchochoro wa magoli kwa tiu pinzani. RvP, kutokuwepo kwake kumepunguza nguvu katika mashambulizi, hilo halipingiki.
5. Moyes kutotoa 'hair-dryer' treatment - ni kama bado anawagwaya wachezaji. Wakicheza vibaya, kwenye post-match inteviews anasema wamecheza vizuri. Hata pale uwanjani, anaonekana kutowakaripia wachezaji na kuonyesha who is the boss. Hili limepelekea timu kucheza bila ya #ManUnited spirit katika mechi nyingi. Mfano, juzi dhidi ya Spurs kwa kweli kabla ya Danny kufunga goli, timu ilicheza kama imekata tamaa vile.
6. Pressure on players, haswa wanapocheza OT - wachezaji wa #ManUnited hawajazoea kuwa katika hali kama hii. Kupoteza mechi 4 OT, ni jambo ambalo halipo katika veins zao. Sasa hiyo inapelekea kucheza na pressure ya kuogopa kupoteza tena mechi nyumbani. Hata mashabiki OT wamekuwa nao hawana morale sana wa kushangilia timu; ni kama wana fear for the worst katika kila gemu OT. Ni ajabu away fans wamekuwa wakitoa sapoti sana kwa timu.
Hayo ndiyo nayaona kama mambo yaliyopelekea timu kufanya vibaya hadi sasa.
Lakini #ManUnited ndio klabu kubwa zaidi Uingereza, hivyo itakaa vizuri tu, na mambo yatakuwa sawa.
The influential Manchester United fanzine Red Issue have called for David Moyes to stamp out the diving culture at Old Trafford - or leave the club. In a series of passionate postings on Twitter, the fanzine hit out at the recent spate of simulation from Manchester United players. And Sportsmail understands that the fanzine is set to campaign heavily on this issue in their next publication.
Ashley Young had a legitimate penalty appeal turned down by referee Howard Webb towards the end of Uniteds 2-1 defeat by Tottenham on New Year's Day and the fanzine believe that Uniteds chances were not helped by the wingers reputation for diving. @RedIssue tweeted: No surprise whatsoever to see Young denied a penalty given his previous form for theatrics. This is what happens when youre a cheat.
Danny Welbeck also came under the microscope after he fell dramatically under minimal contact from Spurs defender Vlad Chiriches. Referee Webb turned down the penalty claim but did not caution the player for unsporting behaviour. Welbecks fall was the latest in a series of perceived dives from United players, with Adnan Januzaj booked three times already this season for going to ground too easily - although replays showed that the youngster was unfairly cautioned by Webb yesterday - while Wayne Rooney escaped punishment but also dived in the 3-2 victory against Hull on Boxing Day.
The account fumed: Welbecks dive yday was the most disgraceful act in a Utd shirt since Januzajs last and before that Young and Rooneys. Sort it Moyes.
No-one minds MUFC losing - thats football. Losing whilst disgracing the club through cheating is another matter. Sort it Moyes or f**k off.
Sababu wanazotoa goons wenzio ni kuwa David ni kocha asiyefaa kuwa wa #ManUnited wanatoa sababu hiyo kwa kocha ambaye hata mwaka 1 hajamaliza klabuni.
Sasa ndio maana nikawaambia kama kigezo cha kufanya vibaya klabuni ndio kiashiria cha kocha kuwa mbovu, mbona Arsene Chenga anaenda mwaka wa 9 sasa bila kuwa na kikombe hata cha mbuzi?
Pili, goons wenzio wanasema David hastahili kuwa #ManUnited kwa sababu ana uzoefu wa midtable....sasa nikawauliza Arsene Chenga wakati anakuja goons alichukuliwa kwa uzoefu upi? Kwani alitoka nchi ambayo haikuwapo kwenye ramani ya soka!!!
Ni hayo tu chifu wangu.....
Sasa nakupa sababu inayopelekea United kufanya vibaya hadi sasa:
1. Kipindi cha mpito - ili halina ubishi, kwani kwa kile alichokifanya SAF katika miaka 27 ya kuwa OT, siyo rahisi kwa kocha mpya kuja na kuyaishi mara moja. Naamini siku ambayo Arsene Chenga akiondoka goons (msimu huu ndio wake wa mwisho, kwani aliahidi hasipochukua kikombe chochote kile atajiuzulu, na sioni dalili za kuchukua chochote).
Katika kipindi cha mpito, David anapigania na kuepuka kuishi katika kivuli cha SAF; anataka aweke alama yake klabun, jambo ambalo siyo kazi rahisi.
2. Kuchemsha katika usajili wa majira ya joto mwaka jana - hapa napo panahusika. David alikuwa ni meneja mpya na Ed Woodward alikuwa ndio kwanza ameanza majukumu kama executive vice chairman mwenye jukumu pia la kutoa pesa za usajili. Sasa Ed alikuwa mzito mno katika kutoa pesa; hivyo kupelekea David kukosa wachezaji aliowataka. Hapa siasa za usajili ziliwatoa knockout wote. Mwezi huu mambo yataenda vizuri, kwani David tayari ana kikosi chake kipya cha usajili. Timu ilihitaji wachezaji kadhaa wapya karibu katika nafasi zote tatu (beki, kiungo na mbele) za uwanjani (ukitoa golini). Hiyo ni kutokana na usajili uliofanywa na wapinzani na kuongeza nguvu ya wapinzani.
3. Viwango vya wachezaji - viwango vya wachezaji kama Evra, Rio, Tom, Smalling, Kagawa na Javier vimekuwa haviko sawa sana. Ingawa kwa Javier na Shinji, naweza nisiwalaumu sana kutokana na muda mchache waliocheza. Lakini pale wanapocheza, hususani Javier wamekuwa hawapo katika viwango sawa. Shinji amefanya vizuri sana katika UCL. Evra nafikiri muda wake umefika omega; amekuwa hana spidi ya kurudi kwenye LB pale anapopigwa counter attack kwenye upande wake. Tom amepewa sana nafasi lakini hajawa bora katika kusukuma mashambulizi mbele. Smalling naye pale anapocheza kama RB amekuwa uchochoro sana; ingawa kwa upande mwingine siwezi kumlaumu sana kutokana na kwamba yeye siyo natural RB. Akicheza kama CB, uwa anacheza vizuri sana. Rio kazeeka, na nafikiri mwisho wa msimu huu, safari ya kuondoka itafika.
4. Majeruhi - kwa kweli msimu huu timu imekumbwa na majeruhi kwa wachezaji wa muhimu sana. Mfano, RvP, Rafael, Jones, Michael, Vida na Nani. Hii imepeleka timu kukosa consistency. Haswa pengo la Rafael ni kubwa sana; kwani hasipokuwepo yeye RB inakuwa uchochoro wa magoli kwa tiu pinzani. RvP, kutokuwepo kwake kumepunguza nguvu katika mashambulizi, hilo halipingiki.
5. Moyes kutotoa 'hair-dryer' treatment - ni kama bado anawagwaya wachezaji. Wakicheza vibaya, kwenye post-match inteviews anasema wamecheza vizuri. Hata pale uwanjani, anaonekana kutowakaripia wachezaji na kuonyesha who is the boss. Hili limepelekea timu kucheza bila ya #ManUnited spirit katika mechi nyingi. Mfano, juzi dhidi ya Spurs kwa kweli kabla ya Danny kufunga goli, timu ilicheza kama imekata tamaa vile.
6. Pressure on players, haswa wanapocheza OT - wachezaji wa #ManUnited hawajazoea kuwa katika hali kama hii. Kupoteza mechi 4 OT, ni jambo ambalo halipo katika veins zao. Sasa hiyo inapelekea kucheza na pressure ya kuogopa kupoteza tena mechi nyumbani. Hata mashabiki OT wamekuwa nao hawana morale sana wa kushangilia timu; ni kama wana fear for the worst katika kila gemu OT. Ni ajabu away fans wamekuwa wakitoa sapoti sana kwa timu.
Hayo ndiyo nayaona kama mambo yaliyopelekea timu kufanya vibaya hadi sasa.
Lakini #ManUnited ndio klabu kubwa zaidi Uingereza, hivyo itakaa vizuri tu, na mambo yatakuwa sawa.
......ndio #Mzoee sasa, maelezo meeeeeengi!
Sisi tunaelewa sana hiyo, mnachoudhi ni hizi tafsiri zenu kwenye hiyo transition in English Dictionary:
1. Hope: When you move from position 8 to 6 after several games with unknowns.
2. Blindness: When you see Arsenal in 6 when they are actually 1
3. Naïve: When you think you will catch Liverpool after they are done with the top 4 business
4. Misery: when you play just to qualify for a Europa position
5. Stupidity: when you hire a middle table manager and expect to defend the league
6. Reality: When Everton is above you after selling their dull manager to you
7. Denial: When you prophecy that Arsenal will be number 4 by 1 January 2014
8. Clueless: when you are ganyuliraling Newcastle and support your enemy (in Arsenal) to win
9. Religious: when you pray for Arsenal to lose!
10. Failure: When Arsenal is on top against your wishes
11. Barbaric: When you are angry with this post! period,
Replays zilionyesha kabisa Lloris alipangua ule mpira nje ya mstari.....kama unawezaa kuangalia tena, ebu angalia chifu...I wish ningekuwekea video clip ya tukio husika....ila I can't find the clip......ila kama unaweza try to watch the match again......
If you call this diving, well,I am done with you.
Hugo Lloris tackle was 'scandalous' - Moyes - YouTube
Even Tim Sherwood admitted that was a clear penalty and a straight red card.
Sherwood agrees with pen shout | Video | Watch TV Show | Sky Sports
If Danny and Young dived, why didn't Webb book them for diving?!
......ndio #Mzoee sasa, maelezo meeeeeengi!
Sisi tunaelewa sana hiyo, mnachoudhi ni hizi tafsiri zenu kwenye hiyo transition in English Dictionary:
1. Hope: When you move from position 8 to 6 after several games with unknowns.
2. Blindness: When you see Arsenal in 6 when they are actually 1
3. Naïve: When you think you will catch Liverpool after they are done with the top 4 business
4. Misery: when you play just to qualify for a Europa position
5. Stupidity: when you hire a middle table manager and expect to defend the league
6. Reality: When Everton is above you after selling their dull manager to you
7. Denial: When you prophecy that Arsenal will be number 4 by 1 January 2014
8. Clueless: when you are ganyuliraling Newcastle and support your enemy (in Arsenal) to win
9. Religious: when you pray for Arsenal to lose!
10. Failure: When Arsenal is on top against your wishes
11. Barbaric: When you are angry with this post! period,
Kwanini nyie tu ndio Mnahitaji kipindi cha Mpito?(Transition Period)? Kuna makocha wengi wageni na wanafanya vizuri1. Kipindi cha mpito - ili halina ubishi, kwani kwa kile alichokifanya SAF katika miaka 27 ya kuwa OT, siyo rahisi kwa kocha mpya kuja na kuyaishi mara moja. Naamini siku ambayo Arsene Chenga akiondoka goons (msimu huu ndio wake wa mwisho, kwani aliahidi hasipochukua kikombe chochote kile atajiuzulu, na sioni dalili za kuchukua chochote).
Katika kipindi cha mpito, David anapigania na kuepuka kuishi katika kivuli cha SAF; anataka aweke alama yake klabun, jambo ambalo siyo kazi rahisi.
Kwanini nyie tu ndio Mnahitaji kipindi cha Mpito?(Transition Period)? Kuna makocha wengi wageni na wanafanya vizuri
Like Pellegrin, Martinez, Special One, Rodgerz..."Remember...There is NO TRANSITION IN OLD TRAFFORD"...Poor YOU..POOR ANALYSIS...MANURE!! The successor failed to Lift UP the TEAM....Now U have to BELIEVE IT
Mkuu sijui kama umenielewa vizuri....Hao Makocha niliowataja ni wageni katika clubs zao kama alivyo MOYES...na misimu yao ya kwanza tu katika Club wameonyesha wanaweza kwa maana timu zao zinaleta Upinzani mkali katika ligi...kwanini na wao wasihitahi Muda wa mpito kuwajua wachezaji?Mkuu acha kuchanganya mambo,hebu niambie Rodgers,Martinez na Pellegrin wamepata mafanikio yapi kwenye timu zao so far.Kumbuka SAF amekaa Man United miaka 27 kocha yeyote ambaye angekuja kumrithi lazima angepata taabu.Assesment nzuri ya kocha hufanywa kwenye msimu wake wa pili kwa sababu tayari anakuwa ametengeneza timu yake so hana kisingizio.
So far Roberto Martinez anatumia wachezaji ambao alinunuliwa na Moyes ukiondoa Lukaku,Barry na Deoflou ambao wako kwa mkopo
Mkuu acha kuchanganya mambo,hebu niambie Rodgers,Martinez na Pellegrin wamepata mafanikio yapi kwenye timu zao so far.Kumbuka SAF amekaa Man United miaka 27 kocha yeyote ambaye angekuja kumrithi lazima angepata taabu.Assesment nzuri ya kocha hufanywa kwenye msimu wake wa pili kwa sababu tayari anakuwa ametengeneza timu yake so hana kisingizio.