Manchester United (Red Devils) | Special Thread

upo sahihi, hiyo page pia naifuatilia
 
Hapo yanatengenezwa mazingira tupigwe tena kama kawaida, wacha aende Liverpool haina shida kuliko kutoa mapesa yote hayo kwa mchezaji aliyewika msimu mmoja alafu anatokea timu ndogo, huo ni upuuzi.
DIAZ + NUNEZ + SALAH kwa wale mabeki wenu walevi wa gongo, Tunakuja kuwafanyia matusi mengine Old traford.
 
Mimi nafuatilia sources mbili tu, Romano fabrizo na hao jamaa centredevils.
 
laurie whitwell anasema hiyo taarifa ya jorge mendez kukutana na erik ten hag kwa dhumuni la kujadili usajili wa darwin nunez ni bogus, kwa maana ni feki
Ni Kweli Kabisa Mkuu Nimeona Pia Hata Romano Fabrizio Amekanusha Hakuna Kikao Chochote Kati Ya Ten Hag Na Mendes ila United Wanawasiliana Nae Tu.
 
Umeongea ukweli mchungu.. ila ndo uhalisia wenyewe
 
Aya tukae kwa kutulia sasa Manchester tumejitoa kwenye mbio za kumuwania Nunez

Sent using Jamii Forums mobile app
david ornstein na james pearce kwa pamoja jana wameripoti taarifa ya darwin nunez kuhamia liverpool, ishu kubwa iliojadiliwa sasa ni mfumo wa malipo. james pearce ni tier 1 kwa taarifa za liverpool, huyu david ornstein akikwambia demu wako anatembea na daemushin unapaswa uamini hata kama huna uthibitisho.
 
Mkicheza na Nunez katikati badala ya False 9 hao wachezaji wa pembeni hawatapata service kama mwanzo, zile movement zitapotea na sitashangaa mkidrop.
Kitu ambacho hata mimi ninakitegemea kwa wote city na liverpool kwa ujio wa namba 9 zao.
Tusitegemee mikimbio mingi sana kwa nafasi wanazocheza hao jamaa.
 
taarifa za usiku huu: simon stone wa bbc anasema mazungumzo ya kumsajili frankie de jong yameanza ila hakuna ofa rasmi iliotumwa
 
fabrizio romano anasema man utd wametuma ofa ya euro million 60 + ongezeko la euro million 10. Barcelona wamekataa ofa hiyo
 
Angalieni game ya austria ya ralf inavyocheza ndo mtajua shida ya man sio kocha bali wachezaji
Ila Timu ya Taifa unaita wachezaji unaotaka, wakati club unakuta wachezaji unaopewa.

RR ni kama Pep ama Klop, ni system Coach, mpaka awe na specific players ku implement system yake, hivyo pae UTD si kwamba wachezaji ni wabovu its just Hawafit mfumo wake.

Then kuna makocha design ya Ancelloti ye mpe tu kundi la watu anapanga mnacheza Hataki makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…