D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
umenisaidia sana kuvifahamu vyanzo vya taarifa vyenye uafadhali na rubbish, uzuri pia ukitembelea subreddit za timu wanakuwekea list ya chanzo sahihi na takataka. Vijarida uchwara sivifuatiliiHuwa Mkuu nafurahi sana Tier 1 kama hawa wakiclarify mambo.
Pia Amesema De jong yupo Open Kujiunga Man U, tofauti na Rumors za mwanzo kwamba hataki kuja kwetu.
Kwa usalama wa Afya ya akili yako vyema ukaepuka kabisa hivi ijumaa na uwazi za ulaya.
Kuna sources ukiona zimetoa taarifa unajua tu zinatafuta kuuza habari mfano hao the expresslaurie whitwell anasema hiyo taarifa ya jorge mendez kukutana na erik ten hag kwa dhumuni la kujadili usajili wa darwin nunez ni bogus, kwa maana ni feki
swadakta, halafu kuna wahuni wa mirror na the sun. Muda mwingi wanaandika uongoKuna sources ukiona zimetoa taarifa unajua tu zinatafuta kuuza habari mfano hao the express
umemsahau mario goetzeVipi keita? Na Klop alimkataa Salah alimtaka Brandt, scouting yao ipo vizuri ila sio perfect.
Hapo yanatengenezwa mazingira tupigwe tena kama kawaida, wacha aende Liverpool haina shida kuliko kutoa mapesa yote hayo kwa mchezaji aliyewika msimu mmoja alafu anatokea timu ndogo, huo ni upuuzi.anaweza kuendeleza moto wake wa kufunga magoli kwa msimu mwengine au pia ikawa kinyume chake. tufahamu darwin nunez ni msimu huu tu amekuwa bora. pia unadeal na benfica. wazee wa kuuza wachezaji wanaotrend kwa bei kubwa kama walivyofanya kwa joao felix.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatupaswi kujiweka daraja moja na manchester city na liverpool kwa sasa, tupunguze kuwashwa washwa mdomo
Mzee unaupiga mwingi sana leo [emoji23] watu wapunguze matarajio. Mimi next season natamani tu ku-enjoy soka safi, kombe angalau moja hata Carabao tu [emoji88] ila ni ngumu maana bado tutakutana na miamba kama City na Liverpool so maybe Europa (I wish[emoji16]) pamoja na kurudi kwenye Champions League tu.Hatupaswi kujiweka daraja moja na manchester city na liverpool kwa sasa, tupunguze kuwashwa washwa mdomo
Inaitwa Bartonomics. Woodward mbovu ila Bartonomeu wa Barca alikuwa zaidi, alisajili tu wachezaji ovyo ovyoHivi ni nini kimeikumba Barcelona?? Kosa gani kubwa walilolifanya lililopelekea wao kushuka kiuchumi kiasi hicho??
Aiseeeh
Kama unatumia Twitter pitia page ya @centredevils kila habari wana-indicate kama imetoka kwenye Highest quality source au Proven source zinazofuata ni Average reliability, Low reliability, Not reliable na Source under review so ni rahisi kujua habari ipi uamini na ipi usiamini.umenisaidia sana kuvifahamu vyanzo vya taarifa vyenye uafadhali na rubbish, uzuri pia ukitembelea subreddit za timu wanakuwekea list ya chanzo sahihi na takataka. Vijarida uchwara sivifuatilii