Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sie kwenye sajili tunajivuta sana yaan matatizo ya Man U huwa yanajirudia cjui kwanini?
Siyo kujivuta, tofauti ya Liverpool na United kwenye hili dili ni kwamba Liverpool tayari wame-submit bid kwa Benfica ila United wanaongea na agent kwanza.

It means kama Nunez atakubali mkataba wa United kitakachobaki niku-submit official bid tu. Na tayari Benfica washataja pesa wanayotaka so issue ni kwa mchezaji tu akikataa yeye huwezi ku-force.
 
Nimekupata mkuu 👍
 
Nimekupata Vyema
 
Tumeshamkosa NUNEZ, hivi pale mbele akae Nunez na Diaz kuna mtu kupona kweli??😄
anaweza kuendeleza moto wake wa kufunga magoli kwa msimu mwengine au pia ikawa kinyume chake. tufahamu darwin nunez ni msimu huu tu amekuwa bora. pia unadeal na benfica. wazee wa kuuza wachezaji wanaotrend kwa bei kubwa kama walivyofanya kwa joao felix.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…