Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
Maguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye 4-3-3 ya EtH yenye 2 CDM Fred atacheza namba ngapi?Hiyo uliyoitaja sio weakness kubwa ya Fred..atleast ungesema kupokonywa mipira kirahisi akicheza dimba la chini when he's on pressure.
✓Kaangalie goli bora la Mwaka huu alilofunga Ronaldo
✓Kaangalie goli la tatu lililotupa ushindi vs Wolves.
Ukiyaangalia haya magoli ndo utajua ni kwa namna gani Fred ni master of quick transition pass kule mbele..na bado atakuoffer energy ya kutosha pale katikati ..one of the best.
ETH akijiloga akatengeneza kiungo legelege kwa kuwatumia watu aina ya VdB msimu wetu utamalizika mapema sana...Fred anastahili kucheza juu bigtime.
Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hiiMaguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?
Huyu Mkwawa kwake huwa hakuna mchezaji mbaya ndani ya kikosi cha Manchester united.Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa mtu anaongelea mamb ya world cup leo na anakuprove wrong kabisa kwamba Maguaya ni bora sababu ya alikuwa bora kipind cha world cup...wakati ligi imeisha juzi katuchoma game nyingi tuHuyu Mkwawa kwake huwa hakuna mchezaji mbaya ndani ya kikosi cha Manchester united.
Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaaligomea sababu alitaka mshahara ambao anastahili sioni tatizo hapo
Kwahy tatizo letu msimu huu hadi umeisha lipo wap? Na ungeambiwa usajili ufanyike ungependekeza nafasi gan?Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.
-wakati Ole anachukua Timu tulicheza 433 ila alivyooondoka Herera hatukuweza tena Kucheza huu mchezo, hivyo unaona Mchezaji mmoja tu Kaharibu mfumo mzima
-msimu unaofuatia nao hatukuanza vizuri na mfumo mpya wa 4231, mpaka kufikia january tupo nafasi ya 8, mechi 18 na point 25 tu.
-tukamnunua Bruno January, Missing piece, Ghafla timu nzima ika perform vizuri toka point 25 hadi 66, Nafasi ya 8 mpaka ya 3, wachezaji walioonekana wabovu ghafla nao waka perform vizuri.
-Then akaja Ronaldo balance ya Timu ikaharibika Tena. Mimi naamini kama Tungekuwa na DM/midfield za maana kina Maguire wasingekua exposed na Ronaldo asingehitajika Kukaba sana na Balance ya Timu ingepatikana.
Kwa ushahidi zaidi angalia Maguire asipokuepo si tunashindiliwa magoli ya Kutosha? Varana naye si anatoa maboko mengi tu kama Maguire? Lindelof je?
Kuna screenshot moja ilitumwa humu wakati wa mechi ya Chelsea, yaani kuna Gape karibia mita 20 ama 30 baina ya Midfield yetu na Mabeki, na Wachezaji wa Chelsea kibao. Hata Tungekuwa na Dias na Van Djik bado tungefungwa za kutosha tu.
Kwahy tatizo letu msimu huu hadi umeisha lipo wap? Na ungeambiwa usajili ufanyike ungependekeza nafasi gan?
Maguaya anastahili kupata namba na kuwa captain wa Manchester? Ubora wake upo wap? tokea amekuja Manchester...poor kabisa hajui kufanya marking hanaspeed...hata ww kuna muda unajiuliza huyu jamaa anapataje namba frist eleven
Manchester wanatosheka na kiwango cha Fred yaan interms of creativity na katika uzuiaji? Fred n kiungo wa aina gan? Au unaweza mlinganisha na mchezaji gan labda naweza nikaelewa kwa mfananisho....ni attacking mid au defensive mid au ni register mid?
Mwenye haya majibu aniambie maana mm kama Manchester supporter sielew pamoja nakuangalia game zote za Man u
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kucheza mfumo usiofit wachezaji, msimu huu tumecheza Highline makocha wote, na Tumepress na wachezaji hawafit, Una Ronaldo, mwanzo wa msimu Greenwood, Kina dalot, Telles, Bruno l, Rashford, Maguire na wengineo hawakuwa comitted ama kufit mfumo.Kwahy tatizo letu msimu huu hadi umeisha lipo wap? Na ungeambiwa usajili ufanyike ungependekeza nafasi gan?
Ubora wake anaujua Mou aliomtaka Mpaka kuzinguana na Bodi, Kisha Guardiola, kisha Sisi tukaja Kumsajili, kama wewe Unapingana na Mou na Pep kuhusu Ubora wa Maguire sawa. Na mashabiki wengi munasumbuliwa na Recency Bias.Maguaya anastahili kupata namba na kuwa captain wa Manchester? Ubora wake upo wap? tokea amekuja Manchester...poor kabisa hajui kufanya marking hanaspeed...hata ww kuna muda unajiuliza huyu jamaa anapataje namba frist eleven
Fred ni Box to Box tena anacheza Taifa kubwa kabisa Duniani Brazil, box to Box si lazima awe mzuiaji ama Mtengenezaji, ndio maana brazil ni Casemiro mzuiaji na wapo watengenezaji kina Neymar, quality za Fred anapokonya Sana mipira, anakaba sana na anakimbia vya kutosha, ni mzuri kuharibu mipango ya wapinzani na pia si mbaya akiwa mbele anazo skills za Kibrazil.Manchester wanatosheka na kiwango cha Fred yaan interms of creativity na katika uzuiaji? Fred n kiungo wa aina gan? Au unaweza mlinganisha na mchezaji gan labda naweza nikaelewa kwa mfananisho....ni attacking mid au defensive mid au ni register mid?
Ukiwa bendera fuata upepo hutaelewa, ila ukimuamini Kocha wako, ukaelewa anataka nini, hutapata Tabu utakua una enjoy progress, hata Kama Mechi hatujashinda ama hata kama Hatujabeba Kombe.Mwenye haya majibu aniambie maana mm kama Manchester supporter sielew pamoja nakuangalia game zote za Man u
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo Mctominay anatosha haina haja ya kiungo kusajiliwa kwa ajili dm ?Tatizo ni kucheza mfumo usiofit wachezaji, msimu huu tumecheza Highline makocha wote, na Tumepress na wachezaji hawafit, Una Ronaldo, mwanzo wa msimu Greenwood, Kina dalot, Telles, Bruno l, Rashford, Maguire na wengineo hawakuwa comitted ama kufit mfumo.
Ubora wake anaujua Mou aliomtaka Mpaka kuzinguana na Bodi, Kisha Guardiola, kisha Sisi tukaja Kumsajili, kama wewe Unapingana na Mou na Pep kuhusu Ubora wa Maguire sawa. Na mashabiki wengi munasumbuliwa na Recency Bias.
Fred ni Box to Box tena anacheza Taifa kubwa kabisa Duniani Brazil, box to Box si lazima awe mzuiaji ama Mtengenezaji, ndio maana brazil ni Casemiro mzuiaji na wapo watengenezaji kina Neymar, quality za Fred anapokonya Sana mipira, anakaba sana na anakimbia vya kutosha, ni mzuri kuharibu mipango ya wapinzani na pia si mbaya akiwa mbele anazo skills za Kibrazil.
Ukiwa bendera fuata upepo hutaelewa, ila ukimuamini Kocha wako, ukaelewa anataka nini, hutapata Tabu utakua una enjoy progress, hata Kama Mechi hatujashinda ama hata kama Hatujabeba Kombe.
Si Mctominay wala Fred ambaye ni DM, wote ni Box to Box na wote wanacheza vizuri sana wakipewa Role ya kwenda Mbele.kwahiyo Mctominay anatosha haina haja ya kiungo kusajiliwa kwa ajili dm ?
Mmh aisee iko namna ww unaangalia mpira tafaut na ssSi Mctominay wala Fred ambaye ni DM, wote ni Box to Box na wote wanacheza vizuri sana wakipewa Role ya kwenda Mbele.
Tukiwa na DM ataanza mmoja wao, Preferably Fred na mwengine atakua sub.
Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?Brazil anapata namba kuendana na mahitaji yao na timu za taifa wanakuwa na wachezaji mbadala kwendana na mahitaji yao...kwahy ww unamuona Fred kwenye fainal ya champions League akiypiga mwingi kama modric au kroos...au kama fabinyo na tiago wa Liverpool....tuache mapenzi ya ajabu kwnye mpira tukubali madhaifu ya mchezaj hata kama n wa Manchester
Na kuna mtu atakuja kusema maguaya n bora kwa sababu anapata namba na ni captain wa England
Sent using Jamii Forums mobile app
Mediocre player.Kwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?
Fred alikuwa kwenye timu mbovu ndo maana unamuona mbovu. Ila bado anaitwa timu ya taifa na anacheza na mchango wake umeonekana.
You should not force others to believe what you believe.
Kuna makosa binafsi na ya kimfumo... maguaya n mbovu binafsi anamakosa mengi...Fred ni mfumo unamfanya aonekane n mbovu na pia han creativity kama kiungoJamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Ongea mpira sio matusi yasio na msingiKwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?
Fred alikuwa kwenye timu mbovu ndo maana unamuona mbovu. Ila bado anaitwa timu ya taifa na anacheza na mchango wake umeonekana.
You should not force others to believe what you believe.
Sasa ss kama Manchester tunataka tumuone akifanya vizur ndani ya Manchester sio Brazil...maana tafaut na hapo kwetu hana faida...ni kama useme lukaku anacheza Belgium hivyo mashabik wa Chelsea wajivunie mafanikio yake wakati hana makali kikos cha Chelsea...Kwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?
Fred alikuwa kwenye timu mbovu ndo maana unamuona mbovu. Ila bado anaitwa timu ya taifa na anacheza na mchango wake umeonekana.
You should not force others to believe what you believe.