Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe nyumbu ,umekaaa kimayai mayai somaa hiyoooo........iiiiiiiiiiii...piiiiiiiiiiii.....eeeeeeee..lllllllllooooo....unasemaaa Nini ...paaaapaaa kofiiii kofiiiii ....nasema somaaa hiyoooo man u
 
jamani hakuna tetesi imara zinazohusika na usajili wa timu yetu? au ndio tuseme kocha mpya anacontrol hadi media uchara
 
Manchester united imecheza michezo 38. Lakini hajafunga hata goli moja. Mmefunga magoli 0
Na pia katika hizo mechi 38 tulizocheza hatujafungwa hata goli moja.
Hapa Man United inaonesha ni timu yenye historia yake maana msimu mzima haijafunga wala kufungwa goli hata moja na imefuzu kucheza Europa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…