Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu aliwahi kusema humu kwamba uefa itafikiria cha kufanya mana kukosekana kwa man u ni hasara.View attachment 2219055
Kuna rafiki yangu ana pub na kumbi za kuonyesha mipira Mikocheni na Msasani huwa United inapofanya vibaya anapataga hasira kinoma japokuwa yeye ni L'pool ananiambia biashara yake huwa inatikisika sana.
 
Watoke wote.. nahisi pia wanamkimbia mmarekani. Glazer family hawana maana
Hemen Tseayo ambaye ni head of corporate finance ameachia madaraka baada ya kuhudumu klabuni kwa miaka 10. Taarifa imeandikwa na laurie whitwell.
 
mgogoro wa mourinho dhidi ya paul pogba ndio ulimfaidisha scott mctominay, jose alimpandisha kutoka academy. uwezo wa mctominay ni wa kuchezea vilabu kama burnley na si kuwa regular starter wa manchester united. Tumerudi nyuma sana.
Nakubaliana nawewe, katikati Pana pwaya sana
 
Uhakika ashawekewa radarbna man City
 
Ameshaondoka kwenye list.

Labda Nkuku.
 
Kocha wa sasa ataanza kufeli akisajiliwa wachezaji ambao hawamsaidii.
 
Sijawahi tamani tumnunue muingereza yeyote.
 
Kuna mtu aliwahi kusema humu kwamba uefa itafikiria cha kufanya mana kukosekana kwa man u ni hasara.View attachment 2219055
Mimi nilishaziambia mbuzi fulani humu ziliokua zinachekelea kutofuzu kwetu kwenda UEFA kua
"UEFA inaihitaji zaidi Manchester United kuliko Man Utd inavyoihitajia UEFA"
Hizi kenge zinavyoambiwa kua Manchester United ndio timu ya dunia sijui hua zinafikiri tunatania.
allypipi kila mara hua anawakumbusha kua siku manchester united ikiwa uwanjani dunia nzima hua na furaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naanza kuamini hii safisha safisha ya backroom staffs ni Richard Arnold mwenyewe anaifanya kwa baraka za kina Glazers.

Rebuilding itaanzia kwake kuja uwanjani.

Nadhani anataka Man Utd iwe club ya mpira 100%, hayo ya biashara yatakuja badae.

Nampa 70% benefit of a doubt in this.
 
Ni aibu kubwa Sana man utd kucheza CL ,Mimi binafsi siamini kabisa mpaka hapo makundi yatakapopangwa ...!


Uwezo ni mdogo Sana imagine timu inagogwa 4-0 na Brighton na Bado hata zingeongezwa dakika nyingine 90 huoni wanaweza pata wapi goli ,hio hio timu wanaiaminisha dunia kuwa inaweza kucheza CL[emoji28][emoji28][emoji28]....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…