GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 769
Jengeni team yenu kwanza, kitu ambacho kitawachukua miaka siyo chini ya mitatu...achaneni na mawazo ya ubingwa kabisa kwa sasa!Kitu cha kukumbushana tu hapa jukwaani wakati tunaendelea na rebuild,kwa sasa ili timu ifikirie ubingwa wa ligi ni lazima ipate si chini ya point 90+.
Hizi ni standard mpya walizotuwekea Pep na Klopp.
His injury record mmhKuna uwezekano Haaland akaja United. Hata binafsi nakubaliana na hilo.
Ni natural goal getter. Akikupa goli 30 kwa msimu na Ronaldo akikupa nae 25.
Mnakuwa kwenye nafasi nzuri.
His injury record mmhKuna uwezekano Haaland akaja United. Hata binafsi nakubaliana na hilo.
Ni natural goal getter. Akikupa goli 30 kwa msimu na Ronaldo akikupa nae 25.
Mnakuwa kwenye nafasi nzuri.
His injury record mmhKuna uwezekano Haaland akaja United. Hata binafsi nakubaliana na hilo.
Ni natural goal getter. Akikupa goli 30 kwa msimu na Ronaldo akikupa nae 25.
Mnakuwa kwenye nafasi nzuri.
huyu ndiye kocha pekee wa manchester united niliyewahi kufuatilia interview zake zote.
Amtaje board aliyesema no...kukusanya kundi la watu na Kuwa generalize is not a solution... mashabiki wanataka adui yao namba Moja directly ni nani
Hahaha Glory Glory Manchester Unitedallypipi nakukumbusha tu, leo nimepita maeneo ya kunduchi ile mitaa wananchi wake waliopelekewa moto na panya road.
Nimekuta watu kibao wana mibandeji kichwani ila cha kushangaza kila unaepishana nae barabarani yupo na full tabasamu.
Ikabidi niwaulize wale raia wema waliojeruhiwa kulikoni mmepata mabalaa na mko na majeraha lakini kila nikipishana na nyie nawaona mko na furaha sana?
Mmoja wao ndio akanijibu huku akitabasamu:
"ina maana wewe haujui kua leo manchester united ipo uwanjani anacheza na Brighton"
Hapo ndio nikaamini kua kumbe ni kweli yale maneno ya allypipi
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Mkuu,nadhani imefikia wakati sasa tuamini tunaweza kuishi bila Labile na maisha yakaendelea poa kabisa.alexis sanchez, fred, maguire, ronaldo. Je anayefuata ni paul pogba au majirani zetu wana nia ya dhati ya kumsajili. Kuna muandishi anasema pogba amekuwa akitafuta nyumba nyengine ndani ya jiji la manchester na utafutaji huo wa nyumba unaipa nguvu tetesi ya kuhamia kwake manchester city kuliko kubaki manchester united. Muandishi mwengine ameripoti taarifa za man city kumuania erling haaland na watakapomaliziana nae watamgeukia paul pogba kwani lengo lengine la guardiola msimu huu ni kuongeza kiungo. Muandishi anayeitwa Daemushin yeye ameripoti taarifa hizo ni kama mbinu au mkakati wa upande wa pogba kuipa presha manchester united warudi tena mezani na ofa nzuri zaidi kwa paul pogba kuliko walioiweka mwaka mmoja nyuma. Mbinu hiyo imekuwa ikifanya kazi kwa wachezaji wengi walioitumia kama hao niliokutajia mwanzoni waliotumia mgongo wa manchester city kujichotea mabilioni ya mashetani wekundu. Wewe msomaji una maoni gani?
Kwa mwenendo wa timu na hali ya mashabiki,sidhani kama watathubutu.The way Ralf Rangnick anavyo-expose management ya Manchester United ,huenda wakamfukuza kabla mkataba wake haujaisha
Acha Awachane Tu Ukweli Japo Yeye Sio Wa Kwanza Kuwaambia Ukweli Hata Van Gaal Na Mourinho Walishawahi Kuwachana Ukweli Pia.The way Ralf Rangnick anavyo-expose management ya Manchester United ,huenda wakamfukuza kabla mkataba wake haujaisha
Yes,but fans dont make decision.Itakuwa ngumu management kumvumilia awachane otherwise watamzuia kuongea na media mara kwa maraKwa mwenendo wa timu na hali ya mashabiki,sidhani kama watathubutu.
Ameishakuwa kipenzi cha mashabiki kwa sasa.
I second you..The way Ralf Rangnick anavyo-expose management ya Manchester United ,huenda wakamfukuza kabla mkataba wake haujaisha