The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Yani huku mtaani kuna furaha isiyoelezeka.watu kila napopita wana tabasamunikasema ni EID lakini ni kakumbuka kuwa mufti katangaza EID ni kesho kuchunguza kujua ni nini.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
We nae kiswahili kinakusumbua sn, mupira ndiyo nn.Nyie matakataka muna timu mbovu Sana kuwahi tokea, tangu mupira uanzishwe duniani.
Naona leo umejitahidi.Kosi la dunia on the stage.
hii ndo game yetu ya mwisho OT msimu huu.
Prediction Manchester united 3 Brentford 1View attachment 2208997
Ila Man united akishachezaga na kenge za darajani hua ndio anaanza kufufuka yaani lazima ashinde mechi zaidi ya 4 mfululizo halafu mikenge hua ndio unakua mwanzo wao wa kupoteana mazima ni mwendo wa vipigo tu mfululizo mpaka wanaanza kufikiria kumtimua kocha.Nyie matakataka muna timu mbovu Sana kuwahi tokea, tangu mupira uanzishwe duniani.
Acha nae huyo mtu mwenyewe anajiita Olla mchuga ng'ombe unategemea kiswahili atakijulia wapi hali ya kua muda wote yeye anaongea na ng'ombe.We nae kiswahili kinakusumbua sn, mupira ndiyo nn.
Akili zimeshakaza.Kina Rashford wana la kujifunza kubwa tu kwa Mzee Ronaldo vitu alivyopiga leo wale watoto wa paund laki 2 hawawezi.
Kikosi kulichoanza hakikua na vichezaji vya kiingereza kila mtu uwanjani alikua ame-relax. (No Harry no Marcus, everything was easy peasy lemon squeezy)Kina Rashford wana la kujifunza kubwa tu kwa Mzee Ronaldo vitu alivyopiga leo wale watoto wa paund laki 2 hawawezi.
ScotKwa mara ya kwanza kikosi cha kwanza kimeanza bila Muingereza na tumecheza mpira wa kibabe sana.
Kama alivyohoji mdau hapo juu,ni nani huwa anamuweka MATA benchi?
Eid Mubaraka wakuu wote humu.
Tulia hivyo hivyo wewe ..sisi ni wa kucheza matopeni uko Europa??! Yani kaushindi kenu ka Jana ndio kanakupa kiburi ..hahha sisi ni Chelsea bwana, Kila msimu tuna uhakika wa fainali zaidi ya mbili ..nyie takataka Mara ya mwisho kuingia fainali ilikuwa ni lini? Au ndo ile mulichabangwa na Villarreal hahaha?Ila Man united akishachezaga na kenge za darajani hua ndio anaanza kufufuka yaani lazima ashinde mechi zaidi ya 4 mfululizo halafu mikenge hua ndio unakua mwanzo wao wa kupoteana mazima ni mwendo wa vipigo tu mfululizo mpaka wanaanza kufikiria kumtimua kocha.
Rejea mzunguko wa kwanza ulivyokua halafu tazama sasa hivi mzunguko wa pili unavyoenda.
Chelsea kwa uphaler wenu mnampisha Spurs nafasi ya 3, AsaniAli anakaa nafasi ya 4 halafu nyie kenge tunakutana matopeni kwenye futuhi za jumatano na alhamisi.
Ukorofi huuNow that City and Liverpool have gone to Spain to play UEFA... this the current top 4
1. Chelsea. 34games 66pts
2. Arsenal 34games 63pts
3. Spurs. 34 games 61pts
4. Man Utd. 36games 58pts
Congratulations Man Utd