Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Issue mashabiki mnajifanya mnajua sana, kwamba ETH hajui cha kumfanya Rashford wewe huku unajua?

Rashford ameshaprove mara kibao kwamba yeye ni top player, huwezi kuwa mjinga halafu kila msimu unafunga na kutoa Assist zaidi ya 10 ukiwa unatokea pembeni.
Muda ni mwalimu mzuri.
 
Kuwa kocha wa taifa ni rahisi kumanage na roles za consultancy kuliko kuwa kocha wa club nyingine.

Kazi ya consultancy ni rahisi kuifanya hata ukiwa nchi ingine permanently.

WC ikiisha wachezaji wanarudi kwenye club zao. Kocha hana kazi tena, anasubiri mechi za kirafiki na michuano mingine.

Kocha wa taifa stars anafanya nini sasa?
Ngoja msimu uanze tutajionea
 
Tunataka vjana wa kazi na roho ngumu uwanjani....ETH Mungu amsaidie sn kila usajili uwe bora na falsafa zake ziimiliki EPL

FRaOjbEXsAADvnz.jpeg
 
Jombaa, unatoa wapi nguvu ya kumtetea mchezaji mjinga kama Marcus Rashford?

EtH akijokoroga tu aanze ku-renew mikataba ya vilaza kama hawa maisha yake OT yatakuwa mafupi sana.
Lakini Rashford Ni Msimu Huu Tu Ndo Amecheza Chini Ya Kiwango Tangu Apandishwe Timu Ya Wakubwa.
 
Matt Judge resigns from role as Manchester United’s head of corporate development

By David Ornstein

April 29, 2022Updated 7:44 PM GMT+3

6

[data:image/svg+xml,%3csvg%20xmlns=%27http://www][https://theathletic]

Matt Judge has resigned from his position as Manchester United’s head of corporate development, The Athletic can reveal.
It is believed that Judge is currently working out a notice period prior to an expected departure later this year. He is not expected to play an active role in the summer transfer window.
Judge is thought to have been considering his position in recent weeks amid a series of structural changes at Old Trafford, including the April departure of executive vice-chairman Ed Woodward.
Sources say his departure was amicable between both parties.
Judge was responsible for negotiating transfers and contracts for Manchester United.
He had been involved in United’s transfer business since the summer of 2014.
Judge had previously been described by former manager Louis van Gaal as Woodward’s “right hand” and has long been one of the most influential figures at the Premier League club.
His exit comes after The Athletic broke the news that chief scout Jim Lawlor and head of global scouting Marcel Bout were also exiting Old Trafford.
United are currently undergoing a backroom reshuffle.
John Murtough now has full control of the football operations and has driven some of the changes as he seeks to help turn the club’s fortunes around.
Key to those changes will be the appointment of Erik ten Hag, who was appointed as Ole Gunnar Solskjaer’s permanent successor earlier this month.
The club still plan for interim manager Ralf Rangnick to move into a consultancy role.
Rangnick was announced as Austria’s next national team manager at a press conference on Friday.
(Photo: Getty Images)

Jamaa wako kala panga
 
Rashford ana Goli 6 mechi 6 msimu uliopita UCL, na kakutana na Mbape kamfunika Mechi zote 2, jumla alicheza dakika 416

Mbape Ana goli 8 UCL amecheza mechi 10 jumla Dakika 900

Fanya Homework, Gawanya 900 kwa 8 na 416 kwa 6 utapata jibu unalolitaka.
Haya waweke sokoni ss uone utofauti wa takwimu na uhalisia.
 
That still Explain nothing Mkuu, Unamuonaje Varane wa Sasa? Sancho wa sasa? Mc tominay wa sasa? Bruno wa sasa? Even hata Huyo Ronaldo, wachezaji wachache sana utasema wana perform kwa level yao, Ukitoa Fred sijui nani mwengine.

Coincidence? No. Akicheza Rashford sisi wabovu, asipocheza Rashford vile vile ni Wabovu, Akiwepo Maguire Tunacheza Vibaya na Asipokuepo Maguire pia Tunacheza Vibaya.

Kutafuta Excuse na kuridhisha Nyoyo Zetu tunatafuta Ng'ombe wa Kafara, tumponde wee, then zigo lote la lawama Tumuangushie yeye. Kifupi mfumo Tunaocheza sasa haufit wachezaji wetu, na Viwango vyao vya sasa Havireflect uwezo wao Halisi.
sawa ila yeye tunaona waziwazi anavyochemka kila mechi afadhali ya wengine na bado mnamtetea na kumsifia anauwezo uka huo uwezo kila siku unashuka badala yakuongezeka
 
Haya waweke sokoni ss uone utofauti wa takwimu na uhalisia.
Kwamba sokoni ndio kunaonesha kiwango cha mchezaji? Mbape akiondoka msimu huu kwenda Madrid anaondoka Bure je ni Mchezaji mbovu?

Na mpaka Mwaka jana 2021 January Ambapo Rashoford alikuwa kwenye Form, yeye Ndie Alikuwa Expensive player Duniani

According to Cies
 
Back
Top Bottom