Manchester United (Red Devils) | Special Thread

He!
Mara hii mshaanza kumdharau mwalimu wa walimu?

Kunani pale?
Sasa wewe unategemea kwa utopolo wa Kupanga Maguire kila mechi na kuendeleza upuuzi wa Trashford tutaheshimu kocha.

Kama yeye ni kocha asingekua anapanga Maguire wakati maboko kila uchwao.

Hata akiwa Mshauri wa timu sioni cha maana ikiwa ukocha tu anashindwa kuwa mkali, si ushauri atakua yes man.
 
Mwalimu wa Pressing amekutwa na nini?mwalimu wa Klopp na Tuchel kaishiwa mbinu?let me nitafute nyuzi za nyuma Kuhusiana na Ragnick sifa alizopewa humu Jukwaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
70%of man u fans ni kina jafe na KUNZE
 
Kikubwa tunawashukuru Liverpool kwa kutuheshimisha japo wamekosa kabisa utu kwa wafiwa.
Mnaitesa United bado inaendelea kupambania nafasi ya 4.
AsaniAli jumamosi tukutane Emirates baada ya kesho na nyinyi kushikishwa ukuta na Ze Blauz.
 
Nachowapendea Man U muda wowote wanaweza kupindua meza, usishangae mechi zote zilizobaki wakafungwa zote 😁😁 hakuna kupoa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naondoka rasmi kwenye hili jukwaa, nitarudi siku mkicheza na timu kubwa ya London.
London is blue πŸ’™πŸ”΅πŸ’™
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…