Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngoja nifafanue vizuri nilichomaanisha. Kabla hujaleta wachezaji wapya unahitaji kusafisha nyumba kwanza. Kikosi chetu sio rahisi kumudu kuleta wachezaji zaidi ya watano wenye ngazi ya juu bila kupunguza kwanza, asilimia kubwa ya wachezaji wetu hawauziki wana mikataba yenye gharama sana (mshahara mkubwa + miaka mingi). Swali la msingi hapa, je hawa vilaza tulionao tunawapeleka wapi? Ili tulete watu wengi wapya.

Usifikiri nina imani na wachezaji tulionao hapana bali tuna mtizamo sawa kabisa ila nilikuwa najaribu kuwa realistic. Kwa timu yetu tuna wage bill kubwa sana huwezi kuingiza maingizo mapya mengi bila kupunguza watu.
 
Kila dakika 10 inakua na goli lake,
Mpaka mpira unaisha dakika 90 tunakua tushagongwa goli 9.
Liverpool wanopocheza na wafiwa basi wawe japo na utu kidogo.
Yaani tupo na huzuni ya msiba halafu wanatuongezea msiba mwingine huo sio ubinaadamu kabisa.
 
Sasa mbona ulikua na matumaini hewa kwamba tunashinda, ili timu yako iweke mazingira mazuri ya ubingwa, pole mkuu, maombi yamekuja time mbaya. Tuko kwenye stage ambayo hata maombi hayatasaidia.
Alikuwa anaota

Atulie,,tunaenda kumng'oa kipara wake
 
 
 
Wahuni walipumzika watakuja kuweka kambi humu itakuwa fujo kama jukwaa la Asenyetoh .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…