Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mechi ya juzi na Norwich, it is now confirmed kwamba Maguire ni total liability kwa Manchester United na mpo hapo mlipo kwa sababu yake, hawezi kuruka tena utadhani tanki, hawezi kufanya movement yeyote kwenye backline. Mkimfanya kuwa striker inaweza ikamake sense

CB ghali anachezesha matako tu utadhani anacheza mdundiko
 
allypipi nakukumbusha tu kua leo Manchester United ipo uwanjani na dunia yote inafuraha.
Wananchi wa Ukraine wameomba jioni ya leo vita isimame kwa muda ili waangalie mechi ya united halafu mpira ukiisha mtanange uendelee.
Wa Ukraine wenyewe wanatoa ushuhuda kua Siku United akiwa uwanjani wanajeshi wote wa Ukraine na Urusi hua wanakutana kwenye vibanda umiza halafu wako na furaha kinoma, wanapeana tano kama kawaida, wakimaliza kutamaza mpira ndio wanaendelea kuchapana.
Yaani kumbe hili ni timu la furaha duniani kote, ndio maana mashabiki wa Man united wako na tabasamu muda wote haijalishi wameshinda au wamefungwa tofauti na mashabiki wa timu ile inayoongoza kwa takwimu za mashabiki wake kujiua.
 
Kwa 4-3-3 sasa Ronaldo itakuwaje?
4-3-3 ronaldo Anacheza Kushoto akiwa na Midfield mzuri kwenye kupress Nyuma yake (assume mtu kama Fred ni midfield wa kushoto kwenye midfield watatu) na Beki anaejua Kupanda na kushuka kama shaw.
 
Kabla Ronaldo tulikuwa na hali gani?
Toka tumsajili Bruno mpaka Kuja Ronaldo tulikuwa Vizuri sana, Kuna kipindi tulikaa wiki 2 juu Kileleni pale, Tulikuwa Comfortably Ndani ya Top 4 na msimu uliopita top 2.

Bila kusahau tulikuwa Tunafunga magoli mengi sana, msimu uliopita tulifunga magoli 121, msimu huu mpaka sasa Goli 66 tu.

Ronaldo Ni mchezaji mzuri ila Man U haina Midfield ya kumbeba, sababu Yake ndio maana tulibadili mfumo kutoka Low Block tukawa tunakabia juu and the rest is history.
 
Rangnick tells Sky Sport News on Man Utd future signings:

"There might be a couple of players that independent from style of football or new manager that could be of interest for a club like Man United".

"I have already named those players to the board", he added.
 
Rangnick:
“I know Liverpool, Manchester City and Chelsea also have smart people who take care of recruitment, scouting, the medical department… I think this is also an issue for our club, where they have to pay attention to.
 
daemushin alipozungumzia ishu ya de gea alionekana ana bifu naye:
jiulizeni mashabiki wa de gea kwa nini spain hachezi wala kuitwa?
mpira wa leo mchango wa kipa hauangaliwi kwenye kuokoa michomo pekee.

Rangnick asked if #mufc’s build-up suffers from David de Gea’s lack of progression:

“It hasn't been an issue this season actually, but again, this is also something that needs to be taken into consideration when you know who your manager is (jaalia kocha wako ni guardiola au enrique).

Rangnick:
“For me, David [de Gea] has been outstanding since I arrived. But if you look into Man City and Liverpool and how they've invested in goalkeepers… but again, this is an issue we can only speak about when we know the new manager and how he wants to play.”
 
Liverpool fans are planning to stage a minute's applause in the seventh minute for Cristiano Ronaldo during Manchester United's visit to Anfield on Tuesday evening following the heartbreaking news of his baby son's death
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…