Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bissaka Huwa ana shambulia na kurudi kukaba.

Dalot Huwa mara nyingi ana shambulia TU,anacheza kama wingaa
kuacha gape na kufanya namba 4 akabe nafasi yake.
 
1. Man city
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Chelsea


Mbio zipi ambazo zipo wazi?
Ligi haijaisha Mkuu. Hayo uliyo yaandika ni matamanio Yako TU
.

Ndo utamu WA Epl,hautabili mpaka mwisho WA safari... Dadeq
 
Kocha alimtaka haidara baada ya kuona maji yamemfika shingoni.Lakini alikabidhiwa timu alisema Hana haja ya kufanya usajiri wowote,timu Ina watu wenye vipaji.Kukatokea mzozo wa martial kupigwa benchi Siku nyingine kutokucheza kabisa,kocha akasema anae hitaji kuondoka aondoke mlango uko wazi ndo maana martial na beek wakatembea.Uwe makini unapo fatilia tarifa.
 
Hao walio fanikiwa ni falsafa zao huwezi kusema man utd iige kutoka kwao ingali man utd Ina falsafa yake Mkuu.

Utaiga vingapii???
 
Baada ya international break, nyumbu zitaanza kuingia kwenye heat.

Akianza kucheza mashabiki wake duniani kote wataanza kulia mooo mooo, wanalilia dume.
Wataanza kulia lia Sana kama wachezaji hawajawaona kwenye timu zao za taifa wakicheza,Ila ngoja wafike kwenye club Yao.watakupa list yao kuwa hawasitahili kuichezea timu yaoo


Pogba,Shaw,magwaya,Cr7,Scott,baily
 
Nimekuelewa sana mkuu.
Wao wana kamsemo kao kuwa PREMIER LEAGUE PROVEN! Lakini leo hii wachezaji wanaokinukisha pale city (bernado,laporte,cancello,dias,gundogan,etc),liverpool (diaz,alcantara,keita,etc),chelsea (kovacic,joginho,mendy,havertz,etc) pamoja na ile pool ya Wolverhampton wanderers hawakuwa wachezaji waliotokea ligi yao.

Kane sio mchezaji mbaya kamwe ila kusajiliwa bila kuangalia mahitaji ya mwalimu kisa uingereza wake ndipo tatizo la man utd linakuja. Na hapa ndipo kauli ya LvG inapopata umaarufu zaidi.
Tujipe muda mkuu.
 
Huyo ni RR au Sosha?

Maana RR hata kabla haja kabidhiwa timu alikuwa anajinadi Sana kuwa timu Ina vipaji
.Badae akaanza kulalamika wachezaji hawafati maelekezooo
.Inafurahisha Sana.
sosha mkuu
 
Hamna kikosi cha kumfunga Leicester city


Magwaya ni mzima wa afya kufuatia hiyo game
 
Hamna kikosi cha kumfunga Leicester city


Magwaya ni mzima wa afya kufuatia hiyo game
Unataka Nini? Deal na mechi zako Mkuu! Nani kakwambia una kikosi Cha kumfunga crystal palace ambaye city alishindwa kumfungwa home and away??
 
halafu badae uanze kulalamika kocha alimchukua Dyabala wa Nini wakati Kuna Bruno,Mata,Pogba,Fred,Elanga wanaweza kucheza nafasi anayo cheza Dyabala
Mchezaji yoyote awe bora vipi akija team yoyote akawa flop hakuna ambaye hataacha kulalamika hiyo ni fact, Akija kocha mpya akamuhitaji utasema kuna hawa wanacheza nafasi yake? Yaani kabisa unamuhesabu Mata katika wachezaji chief na aaminiwe 1st 11? Anyway nikuulize katika hao uliotaja hapo yupi anaweza muweka bench Dybala aliye fit kabisa kama wanafika / kuzidi watatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…