Manchester United (Red Devils) | Special Thread

laurie whitewill ameandika(huyu ni tier 1 kwa taarifa za man utd): klabu imepanga kusajili wachezaji wanne kupitia maeneo tofauti. (1) viungo wawili, mmoja ni eneo la ulinzi na mwengine ushambuliaji (2) winga wa kulia, teh teh teh (3) mshambuliaji na kipaombele kikuu ni harry kane bila ya kujali kocha ajaye, mazungumzo ya usajili wake yalifanywa kati ya ed woodward na daniel levy msimu uliopita. gharama za usajili wake itakuwa ni paundi million 100 au zaidi. kama dili litashindikana ndipo wataangalia mshambuliaji mwengine kama vile nunez wa benfica anayegombaniwa zaidi na arsenal.(4) jorge mendez yupo kwenye mchakato wa kutafuta mshambuliaji mbadala wa harry kane kwa timu ya ..... (5) usajili wa kane pia utategemea na mipango ya man city wanaomgombania haaland au kane. fuentte hiyo namba tatu umeisoma vizuri?
 
Mkuu Daemushin kuna kipindi tuliwahi kuulizana swali lenye uelekeo huu kama united hufanya sajili zake kwa misingi na vipaumbele vya kibiashara zaidi au la. Nadhani LvG ametupatia jibu walau kwa asilimia 70 kwamba ni NDIO.
Yaan kwa kuingiza pesa pale England United bado ni #1 na itaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ujao.
Na shida ni kwamba board ya United inaongozwa na businessmen ambao kimsingi wanaangalia profit kama priority kwao, na matokeo ya uwanjani ni ziada sana.

Ndo maana niliwahi kuongelea kwenye comments za huko juu kwamba ukiangalia usajili wa United siku hizi uko kibiashara zaidi kuliko uwezo. Kuna watu wananunuliwa, yes wako vizuri kiuwezo ila sio hitaji katika timu kwa wakati huo. Mfano ulio hai, Cr7 ukiachana na mihemko, team ambayo ipo under construction kama United haiwezi kumaccomodate jamaa maana ni luxurious player, ila angeenda City sahivi angekua kwenye top charts za scorers huko.

So biashara ndo kinachoiponza hii timu kwa asilimia kubwa perhaps hata 50% ya changamoto za uwanjani zinatokana na kutopewa kipaumbele (ukiachana na sababu nyingne mbalimbali)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafikirisha sana, inakua team inapiga hatua moja mbele then tatu nyuma


Sent using Jamii Forums mobile app
 
U-British umetawala sana United, wakiuacha huo haichukui zaidi ya misimu mitatu kubeba PL tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hata kwenye darasa la vilaza huwa kuna #1
.... No offense kwa Ole, ila kumaliza zile nafasi za juu ni kwa sababu rivals wetu walikua wanazingua zaidi na sio kwamba United tulikua vizuri.
Good example ni msimu huu, kusua sua kwa Westham, Wolves na Leicester ndo ticket pekee ya United kuwa top 6. Ila kwa form tuliyonayo hata final table tukiwa nje ya top 6 won't be a surprise kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweza kufanikiwa (kubeba trophies) kwenye team kubwa kocha anatakiwa kuwa either ruthless/strong character au awe very technical. Japo akiwa nazo zote inakua perfect zaidi...
Kuna muda huwa nina imani, kuwa na kocha kama Mourinho hivi una chance sana when comes to knockout competitions... Yule jamaa akiingia robo final yeyote, ujue una 75% chance ya kubeba trophies.... Sababu ya character yake. Story ilikua tofauti kwa Ole, sababu ameipeleka team nusu fainal za kutosha & final kwenye UEL last season, ila anakwama, so it was a matter of time tu jamaa kuachishwa kibarua chake...

ETH technically ni kocha mzuri, nina imani anaweza kufanikiwa japo sijui kama kwa criticism za wale the so called "Legends" wa United watamuacha salama aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauja Anza Leo. Wala usiusingizie
Sijasema umeanza leo. Ila kwa falsafa ya modern football hautaleta matunda....
Angalia vilabu vilivyofanikiwa zaidi kwa miaka 10 ilopita pale England, angalia falsafa zao kwenye recruitment, angalia squad zao, angalia miongozo & maamuzi ya viongozi wa uwanjani & locker room....
Compare na United, I hope you see the difference. Hiyo ndo point yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauwezi kupaaa kama wapinzani wako ni Strong!

Man city angekuwa alisha tangaza kuwa ni bingwa laiti kama wapinzani wake wengekuwa weak.
 
Mkuu hauja muelewa.

Kazungumzia form ya timu baada ya Ole kuondoka. Ndo maana ka relatisha na barca ambayo Koeman aliondoka hivi karibuni ndo akiingia Xavi.

Kumbuka ole na Koeman walifukuzwa kwenye kipindi kimoja.
 
Bila ya kusahau, walisema Rangnick ni Bonge la Kocha. Amewafundisha Klop na Tuchel ukocha.

Leo hii mwalimu wa walimu hana tena uwezo wa kufundisha Man u?
Wamesha sahau. Mpaka wakampachika cheo kuwa ni professor . Mzee wa Gengen pressing
 
Hawa nyumbu wanajisahau fasta utashangaa siku ya mechi wataanza kusema wao ni timu kubwa sana.
. Kabla ya hat trick ya Ronaldo,Ronaldo alipigwa vijembe kwamba aondoke.Amepiga hat trick,Wajuba wakaomba aongezewe mkataba
.
 
LVG wachezaji walikuwa Wana lalamika kuwa ana wapa maoezi magumu na timu ilikuwa Ina miliki Sana bila malengo ya kupata ushindi
.
 
Bila kusahau alikuwa anakuja mbele ya media anasema ameridhika na kikosi chake wakati magepu ya kiungo wa kukaba yako wazi kabisa.
Huyo ni RR au Sosha?

Maana RR hata kabla haja kabidhiwa timu alikuwa anajinadi Sana kuwa timu Ina vipaji
.Badae akaanza kulalamika wachezaji hawafati maelekezooo
.Inafurahisha Sana.
 
Watu hawajiulizi ni kwanini wachezaji wamekuwa flop karibia timu nzima wakati wa RR?


Labile mpaka Sosha anaondoka ndiye aliye kuwa ana assist nyingi epl nzima,lakini Sasa hivi watu wanaona Bora aondoke.

Greenwood alikuwa akiimbwa midomoni mwa watu lakini kipindi hiki kabla ya kesi yake
ni mbinafsi.

Magwaya makosa yameanza kuonekana kipindi Cha RR,Watu walisha sahau kuwa mechi karibia zooote kipindi Cha Sosha magwaya ameshiriki lakini Kelele hazikuwa kama kipindi hiki


Inafurahisha Sana
 
Kipindi kile hao ulio wataja sijui kina Martial,Shaw walikuwa kwenye form nzuri kulinganisha na Sasa. Mbona Kelele kipindi Cha Sosha zilikuwa haziko Kwa wachezaji Bali zilikuwa Kwa kocha tofauti na Sasa????

Halafu kingine kutoitwa timu ya taifa siyo kwamba haujui. Kocha ndiye anae angalia mchezaji anae endana na formation yake pamoja na falsafa yake. Mara ngapi Marcos Alonso alikuwa haitwi Ingali Chelsea alikuwa anakichafua.
 
Kweli kabisa.

Mimi NAJIULIZA,ni kwanini Hawa wachezaji wanaonekana flop kipindi hiki Ingali msimu ulio pita au msimu wa mwanzoni walikuwa vizuriiiii.???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…