Conte was perfect coach for Unitedhapo kwa antonio conte umenikumbusha kauli za gary neville alipoonesha wasiwasi juu ya tetesi za kuajiriwa kwa conte baada ya kufukuzwa kwa solskjaer, gary alisema antonio haendani na falsafa za kiuchezaji za man utd zinazojitanabahisha na soka la kushambulia.cha ajabu baada ya kufungwa na atletico madrid amewashauri viongozi wa man utd wamsajili diego simeone. sijui umeielewa hoja yangu?
Wanaenda tena kufanya kosa lingine, hii timu mtabaki pekeenu wakereketwa mana cc tuna mambo mengi ya kufanya.ameandika James ducker (tier 1)
PSG could be spared compensation bill of £15-20m if Pochettino handed #mufc job.
Formal talks planned with Poch & other Utd candidates after Ten Hag interview kickstarted process on Monday.
Ten Hag could take Mitchell van der Gaag with him if got job
Mkuu upo wapi Ten Hag au Poch?ameandika James ducker (tier 1)
PSG could be spared compensation bill of £15-20m if Pochettino handed #mufc job.
Formal talks planned with Poch & other Utd candidates after Ten Hag interview kickstarted process on Monday.
Ten Hag could take Mitchell van der Gaag with him if got job
conte unayemzungumzia wewe ni yule mwenye maamuzi juu ya kikosi chake. rangnick alipokuja alisema wachezaji hawapaswi kutibiwa nje ya klabu, lakini siku moja kabla ya mechi ya man city CR7 alikwenda kwao. Mourinho hakumtaka martial lakini hakusikilizwa, leo hii mashabiki wa sevilla wanamzomea martial waliyempokea kwa vifijo na nderemo.rangnick alimruhusu lingard kuondoka lakini uongozi wa juu kwa kisingizio cha skendo ya greenwood walimzuia.Conte was perfect coach for United
hahahah tuma CV waje wakufanyie interview......japo naimani Safari hii tutapata mtu sahihi tutakaepata nae mafanikiosina timu kati ya hao na hata huyo enrique, naiamini zaidi akili yangu kwa sasa ndio sahihi kuiongoza man utd kuliko akili za makocha nje ya klopp, guardiola au tuchel. teh teh teh... kwa ufupi nimevurugwa na mwenendo wa manchester united, tumeshajaribu njia tano za makocha tofauti lakini hali yetu haijawa nafuu.
Naweka wazi msimamo wangu kabisa hapa kwenye suala la kocha.
Kama asipokuja ETH au Enrique,basi nitawapisha kidogo muendelee na hii timu ili nifanye mambo mengine kwa msimu ujao.
Sijui board inaona nini kwa Poch!
Raha sana kuona maumivu kama hayaWanaenda tena kufanya kosa lingine, hii timu mtabaki pekeenu wakereketwa mana cc tuna mambo mengi ya kufanya.
"Hatuwezi kuacha msosi kwa ukosefu wa pilipili".Wanaenda tena kufanya kosa lingine, hii timu mtabaki pekeenu wakereketwa mana cc tuna mambo mengi ya kufanya.
utambulisho rasmi wa kiuchezaji(identity) ndio jambo la umuhimu linalohitajika ndani ya klabu.pochettino alipokuwa southampton alisababisha washika dau wa mchezo wa soka waifuatilie kwa umakini sana klabu kwa sababu walikuwa na muunganiko bora unaovutia. Kazi hii kwa sasa ameshindwa kuifanya ndani ya PSG huku mwenzake akiendelea kuifanya ndani ya AJAX na hata kama atakuja man utd bado ten hag kushikilia falsafa yake. Wote tunajua mpira atakaofundisha ten hag ila ni ngumu kufahamu mpira atakaofundisha pochettino. Chaguo linabaki kwa viongozi wanataka nini.Mkuu upo wapi Ten Hag au Poch?
Upo sahihi, na kwa kuongezea tu. Kwa vilabu vikubwa vya caliber ya Man United kocha anatakiwa kuwa na vitu vingi sana. Character yake, uwezo wake kiufundi, awe na strong mentality etc. Poch ni kocha mzuri, lakini ni midtable oriented coach.utambulisho rasmi wa kiuchezaji(identity) ndio jambo la umuhimu linalohitajika ndani ya klabu.pochettino alipokuwa southampton alisababisha washika dau wa mchezo wa soka waifuatilie kwa umakini sana klabu kwa sababu walikuwa na muunganiko bora unaovutia. Kazi hii kwa sasa ameshindwa kuifanya ndani ya PSG huku mwenzake akiendelea kuifanya ndani ya AJAX na hata kama atakuja man utd bado ten hag kushikilia falsafa yake. Wote tunajua mpira atakaofundisha ten hag ila ni ngumu kufahamu mpira atakaofundisha pochettino. Chaguo linabaki kwa viongozi wanataka nini.
Management ya United bado ni British oriented... Muingereza yeyote kwa namna yeyote ile atapewa priority no matter what.Hivi timu nyingine hazina malegend au maana sisi ndo tumewashikilia kweli kweli mpaka inakera mda wao umeisha wapumzikee. Ila Ole alitudharau sana kila nikifikia alimpaa captain Maguire dah. Hii timu ina matatizo sana.
Mourinho aliposema to achieve 2nd position kwenye table na ile squad 2018 was his best ever achievement, walisema ana dharau & kaishiwa mbinu, zikaundwa figisu za hatumtaki etc etc had kafukuzwa.conte unayemzungumzia wewe ni yule mwenye maamuzi juu ya kikosi chake. rangnick alipokuja alisema wachezaji hawapaswi kutibiwa nje ya klabu, lakini siku moja kabla ya mechi ya man city CR7 alikwenda kwao. Mourinho hakumtaka martial lakini hakusikilizwa, leo hii mashabiki wa sevilla wanamzomea martial waliyempokea kwa vifijo na nderemo.rangnick alimruhusu lingard kuondoka lakini uongozi wa juu kwa kisingizio cha skendo ya greenwood walimzuia.
And this is real meaning of fotbol