Komaa na hesgoal mzee, mbs kushuka chini Dk 90, labda unakua huoni mpira vizuri video vya 140p, ๐. Hiyo app ina 360p, 420p, 750p, mpaka UHD kitu kama kwa Tv, bongo bana wangeturahisishia huduma ya home internet.Kuna app ninaweza kuipata inayotumia 500 mb kushuka chini
Hii haikua na server ya uefa jana plus, zikiwapo inajaa watu buffering kibao
Hii baadhi ya mechi haioneshi.
Teden Mengi, yaani hii timu acha tuHakuna mchezaji hata wa under 20 akacheza kuliko huyu Halima Gwaya?
Timu hatuna,Yani sawa unaishi na mke mwenye mdomo,unamvumilia tu Sasa ndo sisi mashabiki wa man utd tunaivumilia tu...
Kukiwa na mechi pitia hizi linksHii haikua na server ya uefa jana plus, zikiwapo inajaa watu buffering kibao
Shukurani sana boss.Kukiwa na mechi pitia hizi links
hesgoal.tv (hii inaonyesha mpaka EPL hesgoal.com mechi za EPL hawaweki tena)
totalsportek.com (hii game 1 wanaweka mpaka links 20 za quality zote: SD, HD, FHD)
beinmatch.tv (Hii ni ya lugha ya kiarabu)
Ukiona hizo zote hazipo vizuri kwako ingia Twitter search jina la timu (Mfano: Manchester United stream) utapata live stream media zakutosha, shida ni moja tu hizo stream huwa zinapigwa ban kwahiyo ikikata inabidi usubiri update au follow account nyingi za kustream.
Njia nyingine kama unatumia Android download app ya LiveNet TV hii ina channel zote kubwa za mpira duniani kuanzia Sky Sports, BT Sports, beIN Sports, Fox Sports, ESPN, TSN, Euro Sport, Sport TV, MUTV, Chelsea TV, Liverpool TV, Real Madrid TV hapo ni data yako tu.
Kwa EPL pia unaweza kutumia virtual card ya VodaCom au Airtel ukafungua account ya Prime Video unapata 1 month trial. Kipindi cha December walionyesha PL sijui kama bado ipo.
Weeee atasepa apendagi ujinga uyoHii ndio UEFA ya mwisho kwa Ronaldo.
Nasikitika kusema kuwa hatutamuona tena Ronaldo kwenye klabu bingwa ulaya.. kama ataendelea kuwepo Nyumbu FC๐
Unapakuliwa ipasavyo ndani ya geto lako..
Kweli wahuni siyo watu
DuuuuuhTofauti ya point kati ya man utd na manchester city baada ya michezo 26 kila mmoja ni point 17 tu!
We are among the title contenders again after finding our form.
Huu ni mtizamo wangu,naomba uheshimiwe tafadhali.