Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo ana bebeshwa majukumu mengi wakati jukumu lake yeye huwa ni kufunga tu!!! Ronaldo akabe,atafute mipira,arudi kuzuia duuh.

Atafute timu ambayo ata relax kwa shughuli moja tu,Kutikisa nyavu.Ndicho alicho fanya alipo kuwa na Madrid.
Ronaldo umefika wakati akubali asitafu kwa heshima aliyoyafanya kwenye ulimwengu wa soka nimakubwa sana huu niwakati wa kupumzika.
 
buffalo44 Hii app vip haitumii mb nyingi? Nataka nitumie kwenye mechi ya kesho
Inategemea unataka nini? Kama una mb za kuunga unga chagua Primary server, alafu expand video mara tatu. Utakula mbugi, primary inachukua mb 500-600 tu mechi nzima.

SD server inabebe 600-700
HD server 600 mb.

UHD hapo 800-900 mbs mpaka 1gb
 
Hili litimu bana, michezaji ovyo.

Kocha nae fala, Ilibidi backline kusiwe na Maguire ili kutowapa Atletico confidence ya kufunga.

Ndio hivyo, hatusikilizwi.

Sancho na Rashford dah! Waingereza bana hasa Trashford yaani hamna kitu now bora Elanga.

Bruno alikua vizuri kupress tatizo mapepe mengii.

Pogba tulitegemea asaidie passes ndio hivyo kawa mzito na mfanya faulo.

Kuingiza

Pogba, na Rashford kumeua pressing mbele.

Kuna comment nilisema kuhusu Bruno, na bora Pogba, nilimaanisha eneo la passes basi, pressing Bruno ni bora, mimi naona angeendelea mpaka dk 70 licha ya mapepe ni risk taker plus matic aliingia angesaidia kupeleka ball mbele mwenye mapepe abahatishe.

Rashford simtaki kabisa.

Maguire nilikua nawaza kumfumua Risasi ya tako na mguu awe bed msimu mzima.
 
Acha tu. Litimu hili bana
 
short and clear
kwa sasa man u inahitaji kocha mwenye kuogopeka na wachezaji
na mwenye sauti

alivyo kuwepo jose aliogopeka kidg mana ukizingua ni bench na alitupa kikombe
baada ya hapo hawa wengine ni kucheka tu na wachezaji kutokana na majina yao
man u ni kama psg lakini si kama real madrid ya ancellot


wataelewa wachache sana
 
Humtaki wewe kama nani?
 
Man u ilikua ni timu kubwa duniani,
pengine haitoshi lazima useme ilikua yenye mafanikio makubwa

Ukiziangalia vizuri hizo sentensi zote ni za wakati uliopita, tena uliopita muda mrefu sana

Kwa wakati wa sasa na ujao

Man u ndio team isiyokua na mbele wa nyuma yani; leo kesho na kesho kutwa

Man u kwa sasa na kuendelea ni muendelezo wa matatizo
Yani kama majira ya mwaka, kiangazi na masika
 
Old traford huko nyuma ilijulikana kama sacred stadium inatakiwa iheshimiwe na wachezaji na wageni. Leo hii kila mgeni akija anajipigia tu hadi achoke. So sad
 
Bado huyo kocha ni bonge la kocha. Kila mwaka wachezaji wazuri waliopikwa wanahama. Kila mwaka ni kama anaanza kuibua vipaji upya. Ten Haag ana timu very temporary. Ingekuwa ni makocha wengine wasingeweza kutoboa na wachezaji wa namna hiyo. Mimi naamini akifundisha timu yenye mshiko wa kuwanunua wachezaji wa viwango na wanaodumu ataifikisha timu mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…