Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio mjue hamna kocha Wala timu

Ole alikuwa mech kama hiz Tena home anashinda vzur TU

Endeleen kulea wazee had akil.ziwakae

Ronaldo

Cavan

Mata

Matic


Hao punguzen HUU SIO wakat wa babu Ferguson kumbuken miaka 11 imepita


Anyway mkiendelea hv had wake zenu tutawazalisha maana mtakuwa hamna nguvu za kiume kabisaaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
'enyi mabinti wa kitanga, ufundi wa kuchomoa chomoa, kuna wanaume wengine bomba zao ni kubwa'

In fact am not talking to mabinti wa kitanga
 
Hapo kuja kuiona timu yangu usiku kama huu nadhani hata Rais atakuwa kabadilika nchi hii. Nimeumia sana dah.
 
Rebuilding ni muhimu sana hasa tukizingatia wachezaji wasiopungua 7 watatakiwa kuondoka.
1. Pogba
2. Cavan
3. Mata
4. Jones
5. Lindgard
6. Matic
7. Bailly
8. Ronaldo
9. Rashford
Mwenye utukufu wake cr7 aondoke tena????
 
Na msahau kuhusu Top 4. Kwanza huu ubao ndio haubadiliki tena mpaka msimu unaisha.
Msimu ujao Newcastle anachukua nafasi yako.
Mtaasubiri kufuzu UEFA mpaka akili ziwakae sawa!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…