Nimeandikaga hapa mkuu. Nikasema tujiulize kwanini united imekua kama dream ya kuua talents?
Kila aliyekuja united ka flop. Nini ni tatizo? Ila sasa washabiki maandazi wasio analyse vitu kwa ukubwa wanaanzaga kunyoosha vidole tu bila kujua tatizo ni kubwa sana.
Eti leo hii wan Bisaka anaonekana utopolo. Kuna promising right back zaidi yake na trent pale EPL katika michache nyuma iliyopita?
Mbona Maguire alikua mzuri tu Leicester. Tangu akina Di Maria, Martial, Pogba, Sancho, Baily etc.
Wote wanakuja na ku flop. Rashford was once a promising young player, leo hii hadi wakina Fode wamepewa perfect nurturing wapo ahead.
Tatizo la man u ni kubwa kuliko tunavyoona. Ila washabiki wengi hawaangalii hili swala in a big picture