goli litatoka wapi wakati tunamiliki mpira ila hatusogei kufanya mashambuliziKwa Atletico hii ya leo tuta-create chance nyingi sana. Wasumbufu wao kama Lemar, Suarez na Griez wapo bench ndugu yao Carrasco katulizwa ila bado Correa na Felix ni wa kuangalia sana beki akifanya blunder hawakuachi.
Atletico wapo solid sana ila muda mwingi wanaokolewa na Oblak tukiwa more clinical hii game inaweza kuisha leo. Naamini kutakuwa na magoli mengi kwenye hii mechi.
Atletico wa La Liga na UCL ni timu mbili tofauti, kocha na wachezaji wa Atletico wanajua jinsi ya kucheza kila aina ya mechi mpaka sasa wametuzidi kimbinu. Atletico walitafuta goli la mapema ili warudi na kukaa nyuma kwa amani kama kawaida yao.goli litatoka wapi wakati tunamiliki mpira ila hatusogei kufanya mashambulizi
goli litatoka wapi wakati tunamiliki mpira ila hatusogei kufanya mashambulizi
Messi kacheza mechi 4 na Atletico Uefa hana Goli wala Assist.Nafasi kama izo angelikuwa messi baac atletiko angepigwa nyingi.
Hahaaa mzee wa data, unapotea sana jukwaani mkuuMessi kacheza mechi 4 na Atletico Uefa hana Goli wala Assist.
Kaondoka Greenwood tumepata Replacement Haraka Haraka.Afadhali, asante Elanga.