Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wapinzani wetu wanaangusha points kitu ambacho ni kizuri ktk mbio za top 4, draw ya west ham inaleta hopes zaidi, je tutapata matokeo kwa Leeds ngoja tuone..
 
Hawa city ukicheza nao kwa nidhamu ya hali ya juu unawapata wakiwa wazi nyuma muda mwingi. City hawapendi kubanwa wakiwa na mpira.
Bonge moja la mechi hasa kipindi cha pili.

Kops watakuwa wamefurahia zaidi huu ushindi wa spurs kuliko spurs wenyewe.
Game on.

Kuna jamaa mmoja wa liverpool alikuwa anashindia humu Don Clericuzio sijamuona kitambo sana
 
Yanavyojipongeza huko kwao utadhani yalikuwa yanacheza dhidi ya city yenyewe.

Kombe litakuja manchester tu
Nyie kweli viaz yaan akichukua city mnaona Kama mmechukua ninyi

Kwa hal hii mtakaa hata miaka buku bila epl

SS hata akichukua Everton halituhusu tunataka la kwetu

Et mchukue uefa labda uefa ya nyokooo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…