hapa pogba anamwambia akabeWatu wasahaulifu sana leo wanamsifia Ole [emoji3]tulikua tunafungwa goli 4 mfululizo mechi zake za mwisho leo wanasema tulikua hatufungwi sana.
Hii timu nionacho matatizo hayawezi kwisha labda ni nature sijui inaamua ila siioni ikisimama tena kwa sasa ni project ya miaka angalau mi4 mbele tena ya kocha wa kueleweka na wachezaji tofauti na waliopo,
jana mpaka tunafungwa Rashford anafanya jogging tu hakabi mpaka mtangazaji ameliongelea tuna wachezaji wavivu sana haiwezekani first half mcheze vizuri sec half mnaharibu tuseme ni mwalimu hata aje pep hapo hao mastaa wetu hawataki kubadilika na wameamua kucheza simple football zao za ole.
utaskia kuna mashabiki maandazi wa kiingereza wanamtaka poch, hovyo kabisaThe Man neededView attachment 2119815
Poleni Sana kwa kipindi kigumu mnachopitia huo ndio ukubwa tatizo lenu kuu mna mdomo Sana ndio maana mna maadui wengi.kutapatapa kwa mkosaji: kwa nini wapinzani wetu hawachezi viporo vyao huku muda ukiwa unaruhusu kufanya hivyo. kuna mechi ya arsenal dhidi ya tottenham au wolves nakumbuka zilighairishwa so kwa lipi linalozuia mechi yao isichezwe kesho ikiwa wote hawachezi uefa.FA tumewakosea nini mpaka wakaamua kuiweka mechi yetu usiku wa leo. Si bora wangelitupa alama 2 kwa kila timu, ndio wameamua tuendelee na zoezi la kubani korodani usiku wa leo.
Jamaa umeanza kutuhurumia 😅😅😅 asante kwa upendo huu......united tatzo halijulikani na hatujui tunafanyaje kuondoa hali hiiPoleni Sana kwa kipindi kigumu mnachopitia huo ndio ukubwa tatizo lenu kuu mna mdomo Sana ndio maana mna maadui wengi.
Aina za sajili mnazofanya ni changamoto kwenu nilitegemea mngesaji angalau kuungo mkabaji na mwenye uwezo wakubiga pass za maana.Pia management yenu imewapa nguvu kubwa wachezaji badala ya kocha yaani unamfukuza kocha wa muda Carrick unamleta kocha wa muda Tena RR nguvu ya kocha itatoka wapi?Jamaa umeanza kutuhurumia 😅😅😅 asante kwa upendo huu......united tatzo halijulikani na hatujui tunafanyaje kuondoa hali hii
Mzee usidhangae siku watamleta Pochettino.The Man neededView attachment 2119815
Brighton wanaenda kuwabakaManchester United inacheza leo na dunia yote ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16].View attachment 2120134
Mzee atakua hajitumi, black tuna tatizo.axel tuanzebe alicheza dakika 8 kwenye mechi 8 zilizoongozwa na steven gerrard. wakala wake ambaye pia ni kaka yake alimshutumu steven gerrard kwa kusema mteja wake anawekwa benchi na kocha kwa sababu ya upinzani wa asili kati ya liverpool na manchester united, hatimaye tuanzebe akasajiliwa na napoli. cha kustaajabisha tokea atimkie huko amefanikiwa kucheza dakika 10 ndani ya mechi 5 za ligi kuu. napoli pia hawajamjumuisha tuanzebe kwenye kikosi cha europe kitakachokabiliana na barcelona. Hii ina maana gani?
Kuna muda mlikua mna viporo vinne na sijawahi ona shabiki wa Arsenal akisema anaonewa 😅😅kutapatapa kwa mkosaji: kwa nini wapinzani wetu hawachezi viporo vyao huku muda ukiwa unaruhusu kufanya hivyo. kuna mechi ya arsenal dhidi ya tottenham au wolves nakumbuka zilighairishwa so kwa lipi linalozuia mechi yao isichezwe kesho ikiwa wote hawachezi uefa.FA tumewakosea nini mpaka wakaamua kuiweka mechi yetu usiku wa leo. Si bora wangelitupa alama 2 kwa kila timu, ndio wameamua tuendelee na zoezi la kubani korodani usiku wa leo.