Sijui ni kwanini watu wanashindwa kuliona hili..
Tulifurahia yeye kurudi lakini kwa sasa jamaa ni tatizo kubwa kwenye hii timu,japokuwa tuna matatizo mengine makubwa tu.
Majipu makubwa kwenye wachezaji ni;
Ronaldo
Shaw
Maguire
Utd ina matatizo mengi Sana mkuu, kutokufanya vzr zigo lote anabebeshwa cr7 ? Kwa nn ?? Mechi kabla ya Jana , mbele alisimama Edson, Nini kilibadilika ? Tuna shida kubwa karibu kila idara, pengine kipa tu anacheza vzr recently, beki za kati Amna kitu, njoo namba sita, kule kwa Shaw napo Amna !
Njoo kwenye build-up nayo uozo,,, wale wa kumalizia(kufunga) napo tuseme Kuna ubutu,,, why Ronaldo ?
Jana legend Owen alitamka kuwa kuwa Ronald na Pogba wakiwa fiti kwa kikosi Hiki Cha utd hakuna wa kuwaweka bench,,(means hakuna mchazaji anaewazidi kwa viwango )
Anyways! Ronaldo alanaumiwaje wkt Tena yeye Ni mchezaji Kama rolimodo ?? Anawahi mazoezini, nidham, winning mentality n.k ! Kuna shida kubwa utd lkn tunifunika na kivuli Cha Ronaldo! Uwezo wa RR mbona hauzungumziwi ? Lini amefundisha team yenye presha kubwa Kama utd ? Anaimeneji vp timu ? Kwa nn wachezaji hawajitumi ? Au wakijituma Ni kipindi Cha kwanza tu ? Ameishia kuwa muongeaji zaidi kuliko vitendo , anyway msimu kwetu ni Kama umeisha. ,,, Tupiganae kwa damu na machozi tuambulie top four pengine !
JamiiForums mobile app