Manchester United (Red Devils) | Special Thread

jana kosa kosa la ronaldo nini ? cavani mpk anatoka ana shot 1 on target ile header ! winger unamtegmea rashford badala ya kumpa mtu anapiga mwenyewe ! hivi ronaldo angeenda city unaamini angepitia wakti mgumu km huu anaoptia man u ?
Yawezekana asingepitia ila Ronaldo alikuja kubadili set up ya timu nzima na kibaya zaidi alibadili hadi, mentality ya timu.
 
Hamna ubavu wa kupunguza idadi ya magoli kwa Southampton

Huo ubavu hamna

Mtapelekewa moto mwanzo mwisho
 
Mnajiita mashetani wekundu mkirogwa kidogo mnakimbilia kwa sir God awasaidie
 
Mpaka mtakapo kubali kuwa furguson ameshaondoka na kuaanza mifumo mipya kabisa ,huku mambo ya u DNA wa united ukifutiliwa mbali ....



Huyo furguson hatakiwi Tena kuingia uwanjan hapo OT Wala kutoa maoni yeyote Kwan zama zake zimeshaisha
vinginevyo mtakuja kushtuka miaka 20 mbele huko ...
 
Soton piga hizi kenge kesho goli moja kwa nunge, mpaka akili iwakae sawa.

Ushindi wenu kesho nyie takataka ni sare, na yule kijana anayezungushaga sketi yake kwenye majukwaa ya wanaume aendelee na kazi yake kama kawaida kesho.

Pumbavu kabisa.
 
Hii takataka ndy imeandika nini hiki?
 
Mna hela ya kumnunua Haaland au mna jiandikia tu
Hela wazitoe wapi hawa nyumbu ,hii timu italipa watu mishahara minono mwisho wa siku kibubu kitaisha huku kina sacho ,Ronaldo ,Maguire wameshanenepa makalio kwa kula pesa za bure bila kuzitolea jasho ....hatumaye watakuwa kama Barcelona tu



Huwezi endelea kulipa mishahara minono kwa michezaji amabayo haiwezi kuchukua hata sahani la carabao
 
Haaland
Paul schick
Darwin nunes
Lautaro MartinezView attachment 2116954
Haaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…