Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu fala jina lake limekaa kama dawa za kienyeji elanga fala sana katulaza watu na viatu hii timu nayo imekua tia maji tia maji kudadeq, kuna vitu vinaboa nina hasira natamani ningekua na uwezo nishike machezaji yotw niyalambe hata makofi mawili mawili hasira zitulie
 
Ninachokiamini mimi;
Msimu huu top 4 hakuna sababu ya kushindwa kusajili wachezaji wa kuimarisha kikosi,matokeo yake tutashindwa kuwavutia wachezaji wazuri wanaotaka kucheza UCL msimu ujao.
Ukiwa na kocha sahihi, huhitaji wachezaji wenye majina makubwa.

Wachezaji wenye vipaji kama kina Bruno wengi tu, unawapata kwa bei za mafungu.

Hakukuwa na haja ya kusajili wala kuongeza mikataba dirisha dogo.

So far, hata tusipoingia top 4, hakuna neno.
 
HATA TUSIPOINGIA INGIA TOP4 HAKUNA NENO


Hii ndio point yenye uhalisia ndani yake sasa
 
Title hopes kwa Man united ni 2023/2024.

A new rebuild is about to start soon.
 
Ushoga mtupu.

Nililewa nikaja kushtuka kipindi cha pili..vijamaa vinaruka ruka tu..

Nikaja kujua pia Ronaldo kakosa penalt.. wtf,..Ronaldo ndo anayefanya Fernandes aonekane choko uwanjani.

Note:nina shots kadhaa kichwani.
Tumeshindwa kufunga kwenye open play basi tufunge kwenye set play.

Hivi yule set pieces specialist huwa anafanya kazi gani ?
 
Huyo specialist anakunywa tu mvinyo carrington..

Ni siku nyingi sana tumefunga from set pieces..achilia mbali kujilinda hizo set pieces.
Toka ameajiliwa hatujawahi kabisa kufunga kwenye set play au yeye hatakiwi kufukuzwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…