Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kuna wakati wanasikilizia upepo.Kwenye kutafuta coach kila mtu na kila shabiki anampendekeza ten hag mpaka raf mwenyewe amempendekeza ten hag sasa maboss wapumbavu wa man u utaona kiama watacho tuletea.
Maana tuna maboss wa pumbavu na washamba tena wajinga takataka.
