Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,619
Na akitoka huko nyuma ya nondo akatafute timu, hatutaki wabakaji sisiDogo ameharibu kabisa.

Na akitoka huko nyuma ya nondo akatafute timu, hatutaki wabakaji sisiDogo ameharibu kabisa.

Anaenda everton tutamuona mkuu..Na VDB Pia....Ole Amemuharibu Huyu Kipindi Anatoka Ajax Alikuwa Amekamilika Kuvaa Uzi Wa United
Utabiri wangu.Anaenda everton tutamuona mkuu..
Mimi nimefikia conclusion ya kuwa VdB ligi hii ya England hawezi kucheza vizuri kama alivyokuwa Ajax.
Hivi Mendy yupo ndani?MwanakulitafutaView attachment 2101793
Wacha Tumuone Binafsi Namtakia Heri Everton, Na Kawaida Ya Wachezaji Wetu Wakiwa Kwa Mkopo Timu Fulani Huwa Wanakiwasha...Natumai Naye Atafanya Kweli.Anaenda everton tutamuona mkuu..
Mimi nimefikia conclusion ya kuwa VdB ligi hii ya England hawezi kucheza vizuri kama alivyokuwa Ajax.
YeahHivi Mendy yupo ndani?
we unadhani mpaka man kuamua kutoa tamko kabla ya uchunguzi itakuwa wamekosea ?Hii generation z ni ya kifala sana kuna watu ningekuwa nao karibu ningepiga makofi wakaungane na ex wa Greenwood. Tupo kizazi ambacho watu wanatumia kila jambo kupata attention ya watu ili kujikusanyia followers na likes.
Ndiyo Greenwood huenda kakosea (bado hajakutwa na hatia) ila chuki waliyonayo watu wa mitandaoni imezidi, kizazi hiki kimejaa sana chuki. Twitter kuna trend mashabiki wengi huwa wanafungua accounts za wachezaji na timu wanazozipenda na huwa wanatumia hizo accounts kufanya banters kitu kinachofanya kuwa maarufu mitandaoni sasa kwenye hii issue ya Greenwood ndiyo wameshika bango wana-tweet upuuzi tu maana hawana contents za maana.
Imefika Tiktok sasa hivi wana-edit video za Greenwood na vinyimbo vya huzuni. The actual f*ck is wrong with this generation!?
Dogo anapita kwenye moto mkali sana, niliona hata IG yake aliamua kufunga comments.
Hiyo ilikuwa ni lazima maana ana mashitaka ndiyo maana wanasubiri mpaka uchunguzi ukamilike kama wangekuwa na uhakika wangeshavunja mkataba naye.we unadhani mpaka man kuamua kutoa tamko kabla ya uchunguzi itakuwa wamekosea ?

..Ni kawaida kwenye social media, negative news zinatembea kama umeme kuliko positive news.Hiyo ilikuwa ni lazima maana ana mashitaka ndiyo maana wanasubiri mpaka uchunguzi ukamilike kama wangekuwa na uhakika wangeshavunja mkataba naye.
Mpaka sasa Greenwood hana hatia, kinachonikera ni kuona watu wameshamhukumu bila kujua undani wa kilichotokea. Tupo kwenye kizazi cha kipuuzi sana, chuki imetawala na watu kushadadia mambo wasiyoyajua mitandaoni.
Juzi-juzi hapa kuna video ya ngono ilisemekana ni ya mwanahabari imevuja watu walishika mabango sana ni yeye ni yeye sasa hivi ukweli umejulikana video ni pornstars huko pornhub tayari image yake ikiwa imechafuliwa.
Kweli ndugu zetu mumeishiwa aisee...yaan hadi yule dogo zakaria mulimtaka and this time mkashindwa kumsajili kweli...TENA JUVE WAMEMPATA HUYO DOGO KWA PESA NDOGO SANA...angewasaidia sana kwenye middle yenu. Dah!...Wakuu WHAT'S GONE WRONG IN TRAFFORD???.Nachojua dirisha dogo alijawai kuisaidia timu ikafanya vizuri ndo maana timu nyingi azionagi umuhimu wa kusajili dirisha dogo maana nikuja kuivuruga timu.
Alafu unakuta ni kidume kabisa anashadadia eti dogo kazingua as if hawajui mademu walivyo wasenge.Hiyo ilikuwa ni lazima maana ana mashitaka ndiyo maana wanasubiri mpaka uchunguzi ukamilike kama wangekuwa na uhakika wangeshavunja mkataba naye.