fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,206
Akija kocha mwenye msimamo wake,tutabaki na Waingereza wawili au mmoja kabisa.Phil Jones amekataa kwenda Bordeaux.
Lingard amegomewa kwenda kwa mkopo.
Utagundua shida ilipo.
Ndio maana wanampendekeza Poch ili vijana wa nyumbani wabaki klabuni.



