Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kiukweli simtetei Greenwood, ila haya mambo yasikieni tu, pengine mwanamke anafanya maksudi kabisa akiwa na malengo yake, mpaka anaamua kurekodi kila kitu hili apate ushahidi, huwezi jua, ukisha kuwa maarufu inakubidi uishi kwa umakini sana, hasa suala la wanawake, uzuri ni kwamba wenzetu wanafuata misingi ya sheria, tusubiri kila kitu kitakuwa wazi.
Yes,usijekuta demu kapigwa chini akaamua aje na huu mchongo kumuharibia dogo.

Vyombo nadhani vitafanya uchunguzi fresh kuhusu hizi allegations
 
Ofcourse mkuu sheria itafuata mkondo, ipo small chance anasingiziwa ila kuna zaidi ya asilimia 90 ni yeye, kama mkuu Tanayzer alivyosema baada ya msimu wa kwanza wa Greenwood aliondolewa Timu ya Taifa, na tetesi zilikuwa ni wanawake, hata Man U hakuwa akipangwa na Ole, hivyo kuna kitu wao walikuwa wanajua ila hawakutuambia.

Ukisikiliza hio audio utaona kabisa Greenwood anaongea as if ni kitu anafanya kila siku.
Mkuu audio inapatikana wapi?
 
Mason Greewood ni mfano tosha wa kuanza kuangalia kuwalipa mishahara mikubwa watoto.

Ameshajiona star, amefika levels za kina CR7 anaweza fanya chochote.

Mtu ana hela kama Greenwood analazimishaje sex? Wakati prostitute wapo wengi sana mitandaoni?

Waingereza watamnyoosha hataamini.
 
kiukweli simtetei Greenwood, ila haya mambo yasikieni tu, pengine mwanamke anafanya maksudi kabisa akiwa na malengo yake, mpaka anaamua kurekodi kila kitu hili apate ushahidi, huwezi jua, ukisha kuwa maarufu inakubidi uishi kwa umakini sana, hasa suala la wanawake, uzuri ni kwamba wenzetu wanafuata misingi ya sheria, tusubiri kila kitu kitakuwa wazi.
Kupiga mwanamke mpaka kufika hizo levels hata ukiwa mtu wa kawaida lazima sheria zikunyooshe vibaya mno, hata iwe huku Afrika.

Kwanza kupiga mwanamke mpaka damu zinatoka unakuwa umefika mbali sana. It's inhuman.

Kama mnashindwana basi temaneni tu na sio kufika hadi kutoa damu. Manake ukiua ndo jela maisha.
 
Utovu wa nidhamu sio mara ya kwanza kwa Greenwood....aliwahi kuingiza wanawake kwenye kambi ya England akiwa na Phoden wa City....

Pia hata huyo dada anaemtuhumu now, ameambatanisha picha hadi za 2020 kumaanisha jamaa tabia hiyo kaanza muda mrefu na hiyo voice note probably ni yake......pesa nyingi sana inawezatumika kuweka sawa au akapotea kama kina Adam johnson [adam johnson alikuwa winga mzuri sana]
Rejea na ile kauli ya Ronaldo, wachezaji wa siku hizi ni viburi na jeuri, hawaelezeki.. sasa uki - relate why alisema pengine hii ni picha iliyokuwepo. Greenwood amelalamikiwa sana suala la nidhamu kile kitendo cha yeye na Foden kilikuwa cha hovyo sana atleast Foden alitulia na hii nadhani ni ukali wa Guardiola kumweka sawa, Ole alikuwa anakinga kifua tu
 
Mkuu Greenwood pia hakucheza Man U baada ya hio incident. Ole alimpiga bench
 
Jamani tuwekeeni hizo video footage za huyo mwanamke akipigwa au kubakwa moja kwa moja na sio picha au audio.

Tamaduni za kimagharibi huwa zina-encourage wanawake ku-play victim mentality ("me too"). Usiamini maneno ya mwanamke dhidi ya mwanaume mwenzio unless una uhakika.

Ukiwa na pesa sana nchi zilizoendelea kwa mtu mweusi kuwa makini sana na wanawake wa kizungu muda wowote ule anaweza kukuharibia. Na maneno yake yatasikilizwa zaidi.

Greenwood akichomoka hapa itabidi awe anaenda Thailand mara moja moja ku-enjoy pretty, young and feminine women. Not those crooked feminist huko kwao.
Mkuu Joh ebu tia nyama hapo kwa mademu wa thailand, i mean wana nini zaidi ili siku ikitokea na sisi twende kutalii uko thailand
 
Inawezekana wakamsimamisha na wakamtoa katika picha zote za kibiashara [promotions etc],

Inawezekana pia, akikutwa na hatia wakavunja mkataba wake.

Aliambiwa sana afocus na soka toka suala lake na phoden kwenye kambi ya England....ila naona aliweka pembeni shauri zote.
Alipoanza kujichora chora tu nikajua kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom