The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Inatia kinyaaNa hicho kitu ndicho kinachoigharimu Manure, Huwezi kumlipa Martial paundi 250,000 kwa wiki na top goal scorer na mtoa assists ukaendelea kumlipa paundi 180,000 kwa wiki. Contribution ya Bruno anastahili kulipwa sawa na Ronaldo au ikipungua basi Degea
View attachment 2086614
Sasa ww jamaa kazi kuponda flop wetu tu wakati na wewe una Pepe na Auba. Au nyie mnafurahia viwango vyao
Hahaha mi nikikuta troll ya kufurahisha yoyote hua naishareSasa ww jamaa kazi kuponda flop wetu tu wakati na wewe una Pepe na Auba. Au nyie mnafurahia viwango vyao
hizo ndizo simulizi uzipendazo zinazowahusu watoto wa malkia. Luke shaw tokea tumsajili takribani miaka 7 nyuma amekuwa na msimu mmoja tu ulio bora zaidi, hata ralf siku za nyuma huko kabla haijakuwepo nia ya kufundisha manchester united aliwahi kumponda.
Kwahiyo zile 160m ndio tumepigwa?
Nafurahi mno.hizo ndizo simulizi uzipendazo zinazowahusu watoto wa malkia. Luke shaw tokea tumsajili takribani miaka 7 nyuma amekuwa na msimu mmoja tu ulio bora zaidi, hata ralf siku za nyuma huko kabla haijakuwepo nia ya kufundisha manchester united aliwahi kumponda.
Kiasi timu imespend na review ya kocha inaweza sababisha timu ya usajili kutimuliwa, deal ya Pepe kwa Arsenal ilikula baadhi ya vichwa baada ya kuonekana mbona hana performance iliyotarajiwa kuja kuchunguza ndiyo yakaibuka mambo ya 10%Nafurahi mno.
Nafurahi kwasababu, wanakuzwa kuliko uhalisia.
Bei za kuwanunua ni mara 4 au 5 ya thamani zao halisi.
Mishahara wanayolipwa ni mara 3 ya wanayotakiwa kulipwa kiuhalisia.
Na wakija United ndo wamefika, no more motivation to move forward. Ukiwakazia, wanaanza kulalamika kocha afanyiwe figisu atimuliwe.
Kati ya makosa makubwa Man Utd inayafanya, ni kutukuza haya matakataka ya kingereza.
Bora wawe wanatoka accademy tu.View attachment 2087283
Nyie hampaswi hata kuongea, mtazidi kujiaibisha, hata Chelsea ikiendelea kuwa na matokeo mabay tuko mbali na ninyi. Hiki ndicho msimamo wangu na nimepost kule kwetu. Manure msipoangali hata Conference hamtaionaChief-Mkwawa huyu jamaa lembu bado anakuja na hesabu zake matokeo ya jana ya chelsea amekupa kweli?
Nilichoandika mimi na ulichopost wewe ni kile kile, unachelewa tu kuelewa.Nyie hampaswi hata kuongea, mtazidi kujiaibisha, hata Chelsea ikiendelea kuwa na matokeo mabay tuko mbali na ninyi. Hiki ndicho msimamo wangu na nimepost kule kwetu. Manure msipoangali hata Conference hamtaiona
View attachment 2087571
Not bad..Pogba ameiambia United anataka kwenda Madrid msimu ujao.