Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kama tutamuondoa anthony martial na baadae nafasi izibwe na Jarrod Bowen, sitochukia licha ya kwamba ni muingereza.
tusije tukaruhusu huyu kijana kuingia kwenye mikono ya klopp na work rate hii alionayo
 
kumbe huku wameiweka hii taarifa, niliwahi kusoma sehemu kipindi kile cha dirisha la usajili.
darren fletcher ndiye anayevutiwa na huyu mchezaji
View attachment 2085059
Fergie aliwahi kum recomend huyu jamaa muda kidogo. Sio mbaya kwa Squad player hasa Vile Lingard, Mata, Pogba na Pengine VDB wakaondoka. Tutahitaji Midfielder angalau watatu.
 
Ila Bruno anastahili bado anakula Mshahara mdogo.
kumlipa dean henderson mshahara wa paundi laki moja kwa wiki ni makosa makubwa sana.
kuna umuhimu wa klabu kuangalia upya njia yao ya kufanya makubaliano na wachezaji, hii tabia ya kusubiria mwaka wa mwisho wa mchezaji muhimu huja na msukumo mkubwa sana wa kupigwa dau kubwa na mawakala wa wachezaji
 
Mpaka leo sitamsamehe aliekuwa anatuaminisha Sancho akija United tutachukua ubingwa.
 
Man Utd ya sasa ni sawa na mtu hana chakula nyumbani ila anatumia hela yote kununua vocha.
 
Mpaka leo sitamsamehe aliekuwa anatuaminisha Sancho akija United tutachukua ubingwa.
Mkuu mashabiki wengi humu tuliaminishwa hivyo kuwa Sancho (right wing) is the missing piece of the puzzle hadi tuka risk nafasi ya kiungo kwa ajili yake.
 
hili swali linapaswa kujibiwa na murtough pamoja na fletcher kwa sababu wao ndio wenye jukumu la kushape structure ya timu ndani ya uwanja. bahati mbaya mpaka sasa sijawahi kukutana na interview yeyote inayomuhusu murtough inayojaribu kuzungumzia mikakati yake akiwa kama director.

mpaka muda huu hatujajua tunataka kucheza mpira upi msimu ujao kwa sababu makocha tunaovumishiwa wana mikakati tofauti
 
Ole bonge la kocha shida kw wachezaj alafu kocha hapo ana saut team inaamuliwa na weng kuna wachezaj wengine ole akuwahitaj alilazimishwa matatizo nd yakaanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…