Wajinga wanataka faida wakati kwa hali tuliyo nayo tunatakiwa kuangalia kwanza hali ya uwanjanidenis zakaria ni pogba aliyechangamka, upande wa pili flamengo wametumia ofa ya euro millio 10 kwa ajili ya perreira ila klabu haijatoa uamuzi. hiyo pesa inatosha kumsajili denis zakaria
lengo ni kumzuia asiende kwa majiraniKama usajili wa Ronaldo
Waingereza hawajawahi kuwa na akili ya mpira.sehemu sahihi ya ralf ni ushauri, tumekuwa na rekodi mbovu sana ya kufanya maamuzi ya ovyo hivyo tunamuhitaji zaidi kwa kazi hiyo. murtough na fletcher kuwategemea peke yao ni kujidanganya.
mpaka kesho nitamlaumu ole kwa uamuzi wake wa kumbakisha lingard asiyekuwa na matumizi naye. tumekosa hela kipumbavu, release clause ya perreira ni euro million 15 au zaidi si ajabu klabu imechelewa kufanya maamuzi labda ni kwa sababu ya udogo wa ofa yaoWajinga wanataka faida wakati kwa hali tuliyo nayo tunatakiwa kuangalia kwanza hali ya uwanjani
Kocha kachelewa kufanya sub mapemaHivi shida ya hii timu ni nini jamani?
na ndio tuliowajaza. muda huu chini ya ole tungelikuwa tunamgombania trippier na declan rice. chini ya ralf tunamlenga tchouameni, neves na zakaria kwa dau lisilovuka paundi million 90 kama utawataka wote. kumbuka hiyo hela tulilipa kwa maguire pekeeWaingereza hawajawahi kuwa na akili ya mpira.
hata leo alikuwepo benchi.sasa sijui naye ni kilaza au wachezaji ndio vilaza kwa sababu hata kona hatujawahi kufungaNaomba kujulishwa kama yule mtaalamu aliyeletwa kwa sababu ya kufundisha mipira iliyokufa kama bado anafanya kazi united au aliondoka pamoja na Ole?
hapo kwenye scouting report. unaambiwa ed woodward ndiye alikuwa mzinguaji wa kufanya maamuziHii timu imepoteza watu wenye macho ya kuona vipaji vinavyochipukia matokeo yake wanakimbilia proven players ambao kimsingi kuja kwao united ni kutunisha mifuko yao tu.
Ni kama vile hii kazi ya scouting inafanywa na ndugu hivyo hawataki kuumiza vichwa zaidi ya kumtaja mchezaji ambaye hata mimi namuona.
Vitu watu wa Manchester United wanaeza enjoy tu ni memoriesenzi za furge ,wanaishi na past events kwenye karne hii ya 21...
Huko insta admin wao anashinda anatafuta clip za legends za mwaka 90 walivokuwa wanafunga ndio anapost
Kutwa humu kutype go go man united kumbe timu yenyewe inarud reverse....
Sawa.Ralf will turn things around.
Kitu cha msingi ni kumpa mamlaka kamili juu ya sajili za wachezaji pale united kama alivyofanya Pep pindi anakuja city.
Natumaini umepata jibu lako juu ya Julio kutokelezea Old Trafford 😂Hawa kilichobaki wamchkue Jamhuri Kihwelo