tunaadhibiwa kwa sababu ya poor recruitments kwa wachezaji. namuonea huruma kocha ajaye.
msimu uliopita tulitumia paundi million 75 kwa usajili wa wachezaji tusiokuwa na matumizi nao. ambao ni donny van de beek, amad na pellistri.
hata kuuza pia tumekuwa wazito wa kufanya maamuzi. fikiria mchezaji kama perreira, lingard, mata, jones wanapewa kandarasi mpyaPiga mnada wachezaji wote uanze upya.
uwezo wa kuhama mtaa hatuna,NYUMBU HAMENI MTAA WA 7View attachment 2082841
hata kuuza pia tumekuwa wazito wa kufanya maamuzi. fikiria mchezaji kama perreira, lingard, mata, jones wanapewa kandarasi mpya
goli zote zmepitia kwakeDalot upande wa kulia utafikiri ulikuwa hauna mtu kabisa.
ukimuongezea wan bissaka tuliyemsajili kwa paundi million 50. kituko zaidi usajili wa wan bissaka unaambiwa takriban wachezaji 800 walifanyiwa utafiti halafu yeye akaibuka kinara, inaumiza na kustaajabisha. now tunavumishiwa kumhitaji tariq lamptey kwa paundi milion 30Bado tena tukapigwa kwa Sancho na Captain wetu
dalot tumemsajili kwa paundi milion 15 chini ya mourinho. poor recruitmentgoli zote zmepitia kwake
Kocha anayejielewa hawezi kukubali hii timu..only those who are desperate ndo watatamani hii kazi..tunaadhibiwa kwa sababu ya poor recruitments kwa wachezaji. namuonea huruma kocha ajaye.
ukimuongezea wan bissaka tuliyemsajili kwa paundi million 50. kituko zaidi usajili wa wan bissaka unaambiwa takriban wachezaji 800 walifanyiwa utafiti halafu yeye akaibuka kinara, inaumiza na kustaajabisha. now tunavumishiwa kumhitaji tariq lamptey kwa paundi milion 30
kocha leo kachemka kiungo kipindi cha pili kilikuw hoi angebadili watu na hata cavani ilibdi aende nje mapema
tulimuacha fabinho tukamkimbilia matic mwenye miaka 29.
kibaya zaidi huna uhakika wa kutimiziwa mahitaji yako kwa dirisha moja. pochettino yupo desperate na soka la uingereza hivyo ni rahisi kuja. wale midfields wa aston villa pamoja na beki zao za pembeni zina uhakika wa kucheza ndani ya timu yetu. tumetumia paundi billion 1 lakini bado timu haionyeshi ahueniKocha anayejielewa hawezi kukubali hii timu..only those who are desperate ndo watatamani hii kazi..