Bado sijaona afueni yoyote, mipira tunapoteza kizembe, beki nazo zinatoa boko, cha kushukuru kipindi cha kwanza Villa bahati haikua yao la sivyo ubao ungesomeka Man 1 - Villa 2.
Utoto utoto bado ni mwingi, kuomba tu kipindi cha pili matokeo yabaki kama yalivyo ila hii timu mpaka ije ikae sawa inahitaji reformation ya hali ya juu.