Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Wew ndio mmliki? Huna hata umiliki wa hisa hata moja harafu unatoa maaamuzi upo uko kwenu NANJILINJI TU UMESHIBA VIAZI UNAROPOKA HATA PESA YA KULIPA MISHAHARA NA POSHO HUTOUISafari hii hakuna msalie mtume watafunguliwa milango wote hao waondoke ile timu huko inapoenda wachezaji waingereza wataiona chungu kweli kweli......
Hebu fikiria unampatia Pochettino hii timu,si tunarudi kwa Ole miaka mingine tena?Sosha aliwalea kama mayai wapuuzi hawa......wasepe tu tuanze moja
Walau hata miaka 2 tu bila kuwa na haraka ya kubeba ndoo wala kucheza UCL.Timu agewe Roy Keane
Tunapitia mapito ya Liverfool safari ni ndefuAsee,hii timu hii ni pasua moyo ila ndo hivyo tumeipenda wenyewe wacha ituue tu, kupanda na kushuka kumo...
Sahihi kabisa...Tunapitia mapito ya Liverfool safari ni ndefu
Huyu kichaa katokea wapi tena humu wadauWew ndio mmliki? Huna hata umiliki wa hisa hata moja harafu unatoa maaamuzi upo uko kwenu NANJILINJI TU UMESHIBA VIAZI UNAROPOKA HATA PESA YA KULIPA MISHAHARA NA POSHO HUTOUI
Katokea kwa mzeee wa gengeni pressingHuyu kichaa katokea wapi tena humu wadau
Halafu nyie mafala mnaonaga shabiki akiwa Africa hawezi kuwa anachangia club ambayo ipo Europe, kuna mashabiki humu wanalipia membership kila season, kuna mashabiki humu wananunua official club kits, kuna mashabiki humu wanalipia vifurushi vya DSTV kila mwezi kutazama club zao unadhani yale mapato ya TV rights wanayatolea wapi? Wewe kama unashabikia Chelshit tu for fun piga kimya usione kila shabiki anayetoa maoni yake hana nafasi kuchangia kuna watu wanachangia hizi club na mishahara wanayokula wale wangese ni pesa zao. Hizi club hazijiendeshi kwa mapato ya mashabiki wao wa Europe pekee.Wew ndio mmliki? Huna hata umiliki wa hisa hata moja harafu unatoa maaamuzi upo uko kwenu NANJILINJI TU UMESHIBA VIAZI UNAROPOKA HATA PESA YA KULIPA MISHAHARA NA POSHO HUTOUI
Acha unyumbu wweHalafu nyie mafala mnaonaga shabiki akiwa Africa hawezi kuwa anachangia club ambayo ipo Europe, kuna mashabiki humu wanalipia membership kila season, kuna mashabiki humu wananunua official club kits, kuna mashabiki humu wanalipia vifurushi vya DSTV kila mwezi kutazama club zao unadhani yale mapato ya TV rights wanayatolea wapi? Wewe kama unashabikia Chelshit tu for fun piga kimya usione kila shabiki anayetoa maoni yake hana nafasi kuchangia kuna watu wanachangia hizi club na mishahara wanayokula wale wangese ni pesa zao. Hizi club hazijiendeshi kwa mapato ya mashabiki wao wa Europe pekee.
Imagine kuna baadhi ya games za PL huwa hazionyeshwi kwenye channel yoyote pale UK siku za mechi, jiulize mapato yao ya TV rights huwa yanatokea wapi kwa siku hiyo kama siyo kwa nchi ambazo hizo mechi zinaonekana hiyo siku. Mfano Tanzania tunaona mechi zote za PL kwahiyo siku UK ambazo hawaonyeshi mechi tuna-play part kubwa kwenye mapato ya hizi clubs.
Kwa Mara ya kwanza Leo umeongea point kubwa sijui ulikula Nini?Ronaldo ni kirusi .....
Yeye anapigania kuweka takwimu vzuri ,hata kma club isiposhinda chochote ,takwimu zake zinambeba...
Badala team icheze as a team inamnufaisha mtu mmoja Ronaldo (kuscore )...
Unaweza kujua kwanini Juventus ilikuwa inastruggle wakati ukiaangalia takwimu za Ronaldo zina tishaa...
inahitaji akili ya ziada kujua kuwa wachezaji hawana morali kwa sababu ya Ronaldo ,...hawachezi kitimu ,Wanacheza kumnufaisha Ronaldo ....
Mnapoelekea timu inaweza maliza nje ya top four lakin Ronaldo ni top scorers epl...lakini mashabiki wa man u hawawezi elewa kwanini hili linatokea ....
Juventus tu ndio wameliona ,Tena wamekuja kushtuka muda umeenda
Kwa Sasa ronaldo sio mchezaji Tena ni mfanyabiashara ,na anahakikisha sokoni anakuwa vzuri Sana ...huyu jamaa anaakili kichizii kama huna jicho la mwewe huwezi kuona
Castr Lukaku amesimama na kai pale mbele nyuma yao wakacheza no 10 wawili mount na Ziyech katikati jorginho na saul back 4 zikawa alzpicueta rb Rudiger cb sarr cb na alonso lb kijana uwe unafuatilia mpira badala ya kuogonzwa na chukiChelsea kacheza 4 2 2 2?
Naomba nitajiwe mawinga walikua nani na nani na ST mwingine ukiacha Lukaku alikua nani.
Tuchel hajawahi kubadili formation akashinda. Alibadili akafa tano akabadili akasuluhu Spurs wachovu ndiyo wamemsaidia kujishindilia jiti
Wee takataka upo😀😀carabao hawapo ,astonvilla atawavuta shati,man u asipookota point kwa hawa wadogo,ajiandae ana ratiba hapo mbele imeongozana big games plus ucl,
Nyie matakataka mujiandae kisaikolojia hapo juu lazima mtoke.Wachezaji wa united ni wavivu
Over