Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ronaldo ni kirusi .....

Yeye anapigania kuweka takwimu vzuri ,hata kma club isiposhinda chochote ,takwimu zake zinambeba...


Badala team icheze as a team inamnufaisha mtu mmoja Ronaldo (kuscore )...

Unaweza kujua kwanini Juventus ilikuwa inastruggle wakati ukiaangalia takwimu za Ronaldo zina tishaa...


inahitaji akili ya ziada kujua kuwa wachezaji hawana morali kwa sababu ya Ronaldo ,...hawachezi kitimu ,Wanacheza kumnufaisha Ronaldo ....

Mnapoelekea timu inaweza maliza nje ya top four lakin Ronaldo ni top scorers epl
...lakini mashabiki wa man u hawawezi elewa kwanini hili linatokea ....

Juventus tu ndio wameliona ,Tena wamekuja kushtuka muda umeenda


Kwa Sasa ronaldo sio mchezaji Tena ni mfanyabiashara ,na anahakikisha sokoni anakuwa vzuri Sana ...huyu jamaa anaakili kichizii kama huna jicho la mwewe huwezi kuona
 
Hao wasenge achana nao, wamebaki kulaumu tu, ukiwaambia watoe alternative watakuambia aondoke, haya aondoke alafu acheze nani pale? Wataanza kuongea utopwinyo.
 
Duuuhhh huu mda umeutoa wapi mkuu
 
Duuuhhh kufungwa mechi moja tu ndiyo umeandika lisala yote hii?
 
Usajili wa Ronaldo kwa namna flani ndio pia ulimuharibia Ole. Usajili wake ulikuwa ni wa kibiashara zaidi. Hakuwa kwenye mipango ya Ole kabisa
Wacha upumbavu, shida ya man u ni midfield, yn kocha hapaswi kumpanga mctomy na mzee Matic pamoja cz mctomy ni mzembe alafu Matic mzee wa back passes.
 
Kuna watu wana bahati sana dunia hii, imagine mtu kama Martial anakula BRITISH POUNDS 250k per week kwa kutokufanya kazi yoyote ile zaidi ya kufanya mazoezi kujenga mwili. Rashford anakula BRITISH F*CKING POUNDS 200k per week kuingia tu uwanjani na kukimbia kwa dk 90 tu kwa wiki. Maguire anachukua zake PAUNDI ZA MALKIA LAKI MOJA NA TISINI kwa wiki na heshima ya unahodha juu ili tu kuingia uwanjani kuzuia watu wasimpite ambao mwisho wa siku wanampita.

Do this players know how f*cking lucky they are? Imagine receiving 200k BRITISH F*CKING POUNDS per week provided with elite coaches to train you at a club like MANCHESTER UNITED just to give your best in return on the pitch for just 90 f*cking minutes a week.
 
Ukiangalia mishahara wanayopokea Salah, Mane, Kante, Mahrez, Foden au Mount na wanachopokea wachezaji wetu na wanacho-offer uwanjani ni huzuni sana na sasa hivi kuna tetesi nusu ya wachezaji eti hawana furaha yani unabaki unajiuliza hivi ni ms*nge gani anapewa pesa zote hizo hakuna anachofanya halafu anasema hana furaha kmkee hivi wanajua wanaweka mifukoni mwao pesa za mashabiki wangapi!

Wolves wanapambana kweli uwanjani ila mishahara wanayopokea ni midogo tu wengi watasema kwasababu wakina Sancho ni mastaa sijui kucheza United inabidi uchukue pesa ndefu ila ni upuuzi.

Halafu kuna ms*nge mmoja kama Pogba tu anataka achukue £500k per week, output yake ni ku-spend hela kwenye kubadilisha tu style za nywele kila wiki, mechi moja assist 4 anakaa mechi kumi assist 1 anaenda salon kwanza akirudi assist 1 msimu umeisha. Bloody fool!!!
 
Wafukuze sss au walipe shilingi 5
 
Fernandes hata huko Ureno recently anapumilia machine..
 
Van Persie kasema Mourinho anastahili heshima ndani ya Utd, pamoja na wachezaji wabovu aliokuwa nao, bado aliweza kubeba vikombe ndani na nje ya Uingereza, na ndio makombe ya mwisho kwa Man utd kwa sasa.
Alipobeba Euro na akina Valencia, Phil Jones, Ashley Young, etc. walisema ni kombe dogo, usajili ukafanyika mkubwa, vipi kipi kilichopatikana?
 
🚨 As many as 11 players now want to leave Man United after becoming disillusioned with life at the club.

Many of the players are underwhelmed by Rangnick’s coaching, not impressed by his tactics and disappointed by the quality of his assistants.

(Source: @MirrorFootball) https://t.co/W0KcrvMu45
 
Mlaumu sosha alieshusha viwango vya hao wachezaji na si huyu ambae hana hata mechi tano za ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…