Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Nakubaliana nawe.Yaani hawa nyumbu wapate nafasi ya 4??
Waipatie wapi sasa??ππ
Itakuwa hakuna haja ya soka sasa kama timu useless kama hii ikipata namba 4.
@Castr hebu niamshie nyumbu zote zilizo lala mpaka sasa hivi.
Hivi kwa raha ipi hasa waliyonayo mpaka waendelee na usingizi mpaka muda huu.
Kwa akili zako ulidhani kuna timu mtaitoa pale juu?Kiufupi nimekata tamaa ya kuingia big4 tunashinda mechi 2 ya tatu tuna boronga nimekata tamaa ya kila kitu msimu huu sioni timu tutayoitoa pale juu.
Mtakatifu Anne kwa furaha uliyonayo nina uhakika usiku wa jana shemeji yetu ulimpa ngengen style.
Mkosi wa dunia
Nyumbu ni nyumbu tu hawezi kua nyati(mbago) hata siku moja.
Yaani wolves bora hata wangepiga goli 5 kama zile za Liverpool ili akili ikae sawa.
Msiwalaumu bure wachezajiMechi Inaisha Tuna Shoot On Target 1 Daaaaah Man U
Yaani nimefurahi kweli mkuuMtakatifu Anne kwa furaha uliyonayo nina uhakika usiku wa jana shemeji yetu ulimpa ngengen style.
Raha iliyojeMmegongwa kiroho safi. Juzi mmeshangilia sana ushindi wa mchongo wa man City.~
Nilichogundua gegen style kumbe kwa kiswahili ndio ile style inaitwa mbuzi kagoma.Yaani nimefurahi kweli mkuu
Ndio anawachezesha nyumbu mule uwanjani na mashabiki mnakaa eti mnasubiria ushindi!Nilichogundua gegen style kumbe kwa kiswahili ndio ile style inaitwa mbuzi kagoma.
View attachment 2067787
Nmeshangaa asubuhi wife ananiambie nimpige gegen style, baada ya kumwambia mi siijui hio style ndio akajiset, kumuuliza hii si ni mbuzi kagoma wewe?Ndio anawachezesha nyumbu mule uwanjani na mashabiki mnakaa eti mnasubiria ushindi!