Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mpumbavu Mmoja anaitwa dawa ya ukimwi anasema mna kosi la dunia
 
Ndio wachezaji wana shida lkn kocha nae uwezo wake siyo mkubwa kama tulivojiaminisha.
Ana maneno mengi kuliko vitendo.
Kaangalie wanavocheza Tottenham sa ivi, ndo utajua ubora wa kocha wao
Kwahiyo kwa Gengen dressing mmepigwa wakuu???
 
Baada ya kuona TRAORE tu kaingia nilikuwa nasuburi kuona goli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…