Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi hakuna uwezekano wa kutoihusisha man u na wachezaji kibao kila dirisha la usajili? maana inakera sana
 
Man United wanatakiwa wamsajili Robin Gossen ili tuondoe huu ujinga wa Wan Bissaka na ugoigoi wa Diogo Dalot.

Patrick Schik katika Bundesliga msimu huu amefunga magoli 16 mpaka sasa magoli matatu mbele ya Haland na matatu nyuma ya Lewandoski.

Jude Bellingham ndiyo jibu sahihi la pengo la Pogba.
 
✓Anthony Martial

✓Paul Pogba

✓Matic

✓Mata

✓Cavani

✓Jones

✓Lingard


Hawa wote by the end of next summer window inabidi wawe wameondoka jumla kwenye timu yetu.
Nakubaliana na wewe Jombaa kwa 100%.
 
Wale wahuni wanaompigia kampeni brendan rodgers kuwa kocha wa manchester united bado wamebaki na msimamo huo?
Kumpa kazi huyu au Mauricio Pochettino MU ni sawa na kumpa kazi devera wa bajaji kuendesha bus la abiria wa mikoani.

Erik Ten Hag/Ruben Amorim/Luis Enrique yeyote kati ya hawa tutakuwa tumelamba dume. Huyu Amorim ni chalii anayewapeleka Porto na Benfica mbio mbio huko Ureno. Msimu uliopita alibeba vikombe vyote na Sporting Ureno.
 
bwana phelan inavyosemekana hashughuliki na chochote kwenye viwanja vya mazoezi, amekuwa mfano wa waziri asiyekuwa na wizara maalumu
Inasemekana moja ya masharti ya Ralf ilikuwa lazima aje afanye kazi na timu yake. Michael Carrick alijiwahi mapema. Kieran Mckenna kazi ya Ipswich imekuja muda sahihi kwake.
 
Kinachonishangaza, kwa mfano huyu sharp, tunapewa taarifa za kujiunga kwake lakini hatuelezwi nani anaondoka, which means waliokuwapo hawakuhitaji services za hao professionals.
Inasemekana moja ya masharti ya Ralf ilikuwa lazima aje afanye kazi na timu yake. Michael Carrick alijiwahi mapema. Kieran Mckenna kazi ya Ipswich imekuja muda sahihi kwake.
Tafsiri nyepesi hapa inaonekana Ralf alipofanya uchambuzi kabla ya kukubali kazi aliamini kama tulivyokuwa tunaamini mashabiki wengi. Hii ilikuwa comment yangu mwaka jana (2020) sept, 25.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…