Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
.......kha?!!!
Nawewe....#DontGiveUpEasily buddy,
You are Man United! Acha kukata tamaa hata Mwaka Mpya bado...
Usituletee Bets za ajabu ajabu hapa,
Mwishowe uwe kama huyo shabiki aliyejiua Nairobi.
View attachment 125578
.....#CryingBabies ....[smh!]
Sijakata tamaa....
Hiyo siyo jadi ya #ManUnited
Ninachosema ni hii kasi ya goons kusema #ManUnited itashuka daraja, oh, mara haitomaliza top 4 na blah blah nyingine ka hizo....
Sasa ndiyo maana nimewaambia anayejiamini aje hapa na kuweka maneno na kumbukumbu hapa.....
Cc: Ulimakafu na goons wengine
Last edited by a moderator: