Chifu, ni kweli msimu wetu umekuwa mgumu sana sasa....kupoteza points 23 katika games 15 ni unacceptable kwa #ManUnited standards....
Sasa katika mbio hizi za kilomita 42, #ManUnited imebakiwa na option ya #TryingToCatchUp
United...we wil be back.
lini maana mwasemaga CHRISTMAS!?
after city hold the trophy..
Povuuuuuuuu
povuuuuuuuuu... relax kanywe maji kama glass mbili ndio hurud hapa
Sawa #MkeWetu mkubwa....
#MkeWetu mkubwa naona una huruma kweli....anyway endelea hivyo hivyo.
Relax Chifu.....Kunywa maji mengi na ikiwezekana meza Diclopa ama pain killer yoyote...MAUMIVU yatapungua tu...Some #haters are twaddling a lot thinking that they would ram out #love and #trust in #ManUnited
You are wasting your energies chaps.
#CalmDown and #TakeANap
#IamOut
Twende sasa #ManUnited
Relax Chifu.....Kunywa maji mengi na ikiwezekana meza Diclopa ama pain killer yoyote...MAUMIVU yatapungua tu...
#MtazoeaTu Chifu
#JamviLaWageni
#WatazoeaTu.........hahahahahahaaaaaa!!!
?wameinamaaa...., wameinukaaa,....wanaona haaaya haooo!!?
#MtazoeaTu ! Hivyo hivyo kiugumu ugumu.....