Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kulingana na agent wake Martial, hatihati kuhama dirisha dogo la usajili na Gary Neville asema aishie tu mradi hela iwe ndefu
 
Well said
 
Humu kuna watu ni washangiliaji na sio mashabiki, either ni wacheza kamari ambao wapo desperate au hawajui wafanye nini.

Huwezi kuwa na akili timamu kisha ukaanza kumlaumu RR kwa mechi mbili.
Wambieee RR anatakiwa kulaumiwa Kwa idadi ngapi za mechi?
 
aiseh wazee mmenishambulia sana kisa kusema Kocha aache kuongea sana afanye kazi .....

ila msimamo wangu upo palepale maana naamini sana maneno machache kazi kubwa ndio msingi wa mafanikio
 
Unataka kusema nini?Maana na Arsenal umemzidi point moja na Jumatano wanakutana West ham vs Arsenal.
Mtadraw nyie na westham.....sisi tunaweza fika hata namba 3 kabla ya Christmas kama kikosi kisipo onesha poor playing na tukiwa ma bahati....
 
Nikweli, lakini ukumbuke baada ya yeye kuja hata bruno hafungi tena, Yaana bruno kamuachia Ronaldo options zote za kufunga, unategemea nini timu nzima inapoelekeza mipira kwako ufunge.

salah wa riverpool angekuwa anafanyiwa hivyo angekuwa na goli 50 leo.
 
From Raff's Mouth.

"The body language, the intensity, especially in our offensive department, the two striker and also the two number 10s, they didn’t play at the same intensity level as we did against Crystal Palace but again, that also has to do with the way that Norwich played."
 
Angekua Ole.

"The boys prayed well. Christiano Scored, they are doing well, we got chances with Ronaldo" yaani Utumbo tupu.

Hapo Ralph lazima atakua amewaambia Rashford Ronaldo na Bruno kua hawakukaza pumbu.
 
Angekua Ole.

"The boys prayed well. Christiano Scored, they are doing well, we got chances with Ronaldo" yaani Utumbo tupu.

Hapo Ralph lazima atakua amewaambia Rashford Ronaldo na Bruno kua hawakukaza pumbu.
"I wish we had more physicality, willingness to win one-on-one duels and we could have done better in certain parts of games." by Raff

Nategemea hizi tabia unprofessional kutoka kwa Ronaldo na Rashford zisionekane kuanzia mechi ijayo.
 
Hivi wewe jamaa ni timu gani ,Jana kila uzi umeingia kuropoka kuhusu penalty ,hivi unataka kusema wale mareferee wote wa city ,liverpool ,Chelsea ,man utd walikubaliana kugawa penalty za bure ...au unamatatizo mengine
Kwanza, Siko hapa kuforge allegiance na mtu kwa conform kwa feelings za kishabiki au maamuzi subjective ya marefa,
Pili, Nakushauri ujifunze kuheshimu maoni ya wenzio kwa kutoa maoni yako mbadala, usilazimishe mtu kuwa na maoni kama yako au kuwa na mfumo wa kifikra kama wako.
Mwisho, kuwa muangalifu kwenye aina ya maneno unayotumia unapomuadress mtu, hasa mwana JF. Utaishi kwa amani, ama sivyo hayo maneno ya shombo kama hilo "kuropoka" yanaweza kukugeukia with overwhelming intensity. I know we have had not a very good encounter recently and I wish it doesn't happen again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…