Huyo jamaa nimeshangaa sana, yani game imeisha tu anawahi kuja kumlaumu kocha anajua kwenye press, Daah😅.Sasa unataka Ralf asiongee kwenye press? Kwani muda anaokaa kwenye press si sawa na Ole?
Kucheza ovyo na press vinahusiana nini? Unaona Ralf anakaa sana kwenye press kwasababu anaongea facts tupu. Ole alikuwa kila saa ni 'the boys have played well, blah blah' hata quotes zake ilikuwa huzioni humu.
It's just three games, one poor game (game ya YB usiihesabu kabisa) kocha hafai kwasababu anaongea sana kwenye press (kitu ambacho ni moja ya kazi yake) kitu kinachopelekea timu kuwa na performance mbovu.
Take the positives and move on, we played like this for almost 3 f*ckin years under Ole and boom one poor game under Ralf here comes this!
6 points + clean sheet, sometimes no entertainment but you come out with the important piece of game.
Haya matumizi ya emoji, bila shaka umeanza kutumia smartphone siku za hivi karibuni..!!Yaani nacheka sana kuona mashabiki wa man u wanavurugana wao kwa wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wanatukanana wao kwa wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Et mjinga, na mwingine mjinga mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna mizigo mingi sana pale kufikia level ya leeds si mchezo daaah wale watoto wa bielsa leo🙌🙌🙌🙌🙌Man united kubwa au wachezaji wengi ni mzigo?? Akishindwa na huyu basi labda aje mtume au nabii maana hakuna ataeweza.
Yajayo yanafurahisha🤪🤪🤪🤪Ralf Rangnick is the second Manchester United manager to register a clean sheet in his first two league games in charge of the club after Ernest Mangnall in 1903
😀😀😀😀 Kumamaeeee huyu kocha bana
Kashaona yule scott ni in
Sio kwamba anaongea out of nowhere.Wewe kocha akikosea anaambiwa.....hatutakaa kimya kwasababu hata kwa Ole tulisema.....
who is he by the way.....tumecheza ovyo sana na wachezaji wamecheza ovyo
Je formation mbovu au wachezaji wamechoka au hawajatimiza majukumu yao hapo kazi yake kujibu....
Kukaa kwenye press kuzungumza sana hakutatusaidia....inabidi atuaaidie sana uwanjani maana waandishi wa habari wapo tu.....
We played very poor leo Norwich walikuwa hatari zaidi yetu
Tulia ww upakatwe na tim lako bovu hiloHaya matumizi ya emoji, bila shaka umeanza kutumia smartphone siku za hivi karibuni..!!
Na hizo statements anazitoa anapoulizwa maswali na waandishi. Kwahiyo hana baya lolote.Sasa unataka Ralf asiongee kwenye press? Kwani muda anaokaa kwenye press si sawa na Ole?
Kucheza ovyo na press vinahusiana nini? Unaona Ralf anakaa sana kwenye press kwasababu anaongea facts tupu. Ole alikuwa kila saa ni 'the boys have played well, blah blah' hata quotes zake ilikuwa huzioni humu.
It's just three games, one poor game (game ya YB usiihesabu kabisa) kocha hafai kwasababu anaongea sana kwenye press (kitu ambacho ni moja ya kazi yake) kitu kinachopelekea timu kuwa na performance mbovu.
Take the positives and move on, we played like this for almost 3 f*ckin years under Ole and boom one poor game under Ralf here comes this!
6 points + clean sheet, sometimes no entertainment but you come out with the important piece of game.
Sawa mwinga wangu.Tulia ww upakatwe na tim lako bovu hilo
Tabia yake ya kutaka kuonekana.inatakiwa aache utoto. Jana alipata nafasi mbili akataka kupiga chenga anapotezA. alikuwa hana ushirikiano pale mbele na cr7Rashford sijui atakua lini!?, Anazidiwa utulivu wa akili na Bwana mdogo Sancho! Kocha ampumzishe kama hatobadilika, aendelee na Campaign zake za kijamii.
Anaendeleza tabia zake..Tabia yake ya kutaka kuonekana.inatakiwa aache utoto. Jana alipata nafasi mbili akataka kupiga chenga anapotezA. alikuwa hana ushirikiano pale mbele na cr7
Man utd ni club kubwa wacha iwaumize vichwa.Unajua mapumbavu na mashenzi kama nyie mashabiki uchwara ni kwamba mnaona kwamba timu lazima icheze mechi zote mia ngapi sijui asilimia mia, kwamba washinde mechi zote ligi kuu, halafu hili linatokea kwa man u tu, timu man city zinafungwa hata na norwich au westham, au kutoa droo sio shida utasikia ni mpira, ila kwa man utd ni tofauti, kwamba man utd game ikikaa vibaya utasiikia hakuna kocha, ila man city akifungwa na leeds, utasikia aaah mpira unadunda bwana
Fools !
Hahhah! CR7 katumia ukubwa wake kwenye eneo husika. Aarons alitakiwa kuchukua tafadhali.Ila ile penati yenu mliopewa ina dalili za rushwa
Dah,point tatu za kubahatishaa!Man utd ni club kubwa wacha iwaumize vichwa.
Sisi kazi yetu ni kukenua tu kila tunapotia point 3 kibindoni.
Namchukulia kama motivational speaker maana Sio Kwa kuongea vitu vizurii ivyoo... halafu havionekaniKocha wetu nae aache kuongea sana, afanye kazi ionekane....